Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Mimi situmii mkuuu ...

Mimi nimsukuma mmoja wa ndani ndani hukooo ushamba mwingiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi aiseee kutoka moyon mwangu nawakubali sana ingawa najikubali sana mwenyewe..


Lkn Sure wewe na smart nawakubali kichizi 100% . Ndio maana unaona nawataja..mpo Really sana, ingawa hamna barabara ilonyooka , ila Guys endeleen kua ivo ivo ...mnawasomesha namba watu humu mpaka basiiiii...endeleen kuwasomesha aiseee


Izi zenu izi Cc smart911 ......Cc Mahondaw ..hahahahaha nyie vijana nyinyi. Aiseeeee furaha yangu niendelee kuziona izo Cc ...mimi hata mkigombana, kwaheshima na taazima naomba mrudiane haraka iwezekanavyo kabla sijawatia bakora!!!

Mpo really, hamchoshi wala hamboi ...

mahondaw

Smart911

thanks for the compliment mkuu.. na Smart911 wangu tupo cool hatuna maneno mingi..... nami naomba Mungu azidi kutubariki milele na milele..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitavuka ila nikimaliza hiko kigingi nimeshaanza kulewa hapo naongezea mbili au tatu
Dadadeki[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hii Kali shoga mpange boda boda prmbeni
 
Back
Top Bottom