Sasa unaacha ili ugundue nini?? Kuna mdada anaitwa Tommie napendaga anavyopenda kulewa. Yani yeye kila nikimuona kwenye tv keshapendeza. [emoji23][emoji23]Hivi unaanzaje kuacha jamani daah pombe tamu sana
Yani huyo nae nne tu analewa. Kuna mkaka anakunywa sita tu ila atalewa kama kanywa bia 15.
Ukionja hutaacha utakunywa kila siku [emoji23]Nataka nionje niache baaasi!maana sijawahi ati!
Yani tamu mnooo plus mishikaki [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Hiyo inaitwa hakuna kulewa.
Nimeshaimiss ile chupa ya kijani [emoji23]
Sasa unaacha ili ugundue nini?? Kuna mdada anaitwa Tommie napendaga anavyopenda kulewa. Yani yeye kila nikimuona kwenye tv keshapendeza. [emoji23][emoji23]
Anhaaa. Nikajua nne tu basi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi siku ile tulikunywa ngapi? Maana nilikua naona zinaingia ma kutoka tuNalewa kuanzia nne jamani lakini naendelea kunywa
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]loooh!hapo midadi ndo inapanda!miye napenda anaekunywa kuanzia 10 hiviYani huyo nae nne tu analewa. Kuna mkaka anakunywa sita tu ila atalewa kama kanywa bia 15.
Nne ndio naanza kulewa nakunywa mpka 7
Ndo vizuri sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama Don Clericuzio akinywa heineken anashusha kimalkia tuMmh!mbili nyingi zote hizooo?!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wine tena?si ntaongea kingereza mwanzo mwisho
[emoji23][emoji23]Ebu nyamaza basi jamani mbona unataka kunitamanisha
Eti wananzengo sijawahi kunywa hata kizibo(sijisifii)ila watu wangu wa karibu wengi wao wanywaji wazuri tu.
Kuna muda natamani kuonja ila nafsi inagoma kabisaa yaani!
Utakuta nimekaa na washkaji wananishawishi ila najikuta nagoma hii imenifanya Mara nyingi sipendi kutoka usiku sana kwa kua silewi maana utakuta miye peke yangu nanywa maji sana tu au Bavaria kampani yote wao watumia vilevi!
Nishawishini walau nioje siku moja tu halafu nisinywe tena maana wengi wanasifia pombe tamu!walau tu nionje na miye kaaahh!
Siku ile kama tulikunywa 5 hivi au 4Anhaaa. Nikajua nne tu basi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi siku ile tulikunywa ngapi? Maana nilikua naona zinaingia ma kutoka tu
nitakununulia usijaliUtaninunulia maana sio kwa ubahili huoo[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Ahsante ndugu!Madhara yake hayana tofauti sana na yale ya sumu, tofauti tu ni kwamba ukinywa sumu unakufa palepale, wewe peke yako lakini madhara ya pombe ni kukuua kwanza wewe pamoja na mafanikio ya familia yako, na possibly jamii inayokuzunguka!
Bado nimekuzidi [emoji23][emoji23]Nne ndio naanza kulewa nakunywa mpka 7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakunywa ngapiii kuna siku nilikunywa 9 woiiii sitaisahau hiyo siku sijawahi kunywa beer nyingi hivyoBado nimekuzidi [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji16][emoji23]tano?