Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Natamani kujua utamu wa pombe!!!

[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]anajisifu anakunywa eti

Huyo mkaka type yangu bora nisinywe kabisaa!
Nibaki na maji yangu
Yani huyo nae nne tu analewa. Kuna mkaka anakunywa sita tu ila atalewa kama kanywa bia 15.
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]loooh!hapo midadi ndo inapanda!miye napenda anaekunywa kuanzia 10 hivi
Nne ndio naanza kulewa nakunywa mpka 7
 
Anhaaa. Nikajua nne tu basi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi siku ile tulikunywa ngapi? Maana nilikua naona zinaingia ma kutoka tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ukute saba ndo alikunywa
 
Eti wananzengo sijawahi kunywa hata kizibo(sijisifii)ila watu wangu wa karibu wengi wao wanywaji wazuri tu.
Kuna muda natamani kuonja ila nafsi inagoma kabisaa yaani!
Utakuta nimekaa na washkaji wananishawishi ila najikuta nagoma hii imenifanya Mara nyingi sipendi kutoka usiku sana kwa kua silewi maana utakuta miye peke yangu nanywa maji sana tu au Bavaria kampani yote wao watumia vilevi!

Nishawishini walau nioje siku moja tu halafu nisinywe tena maana wengi wanasifia pombe tamu!walau tu nionje na miye kaaahh!

Madhara yake hayana tofauti sana na yale ya sumu, tofauti tu ni kwamba ukinywa sumu unakufa palepale, wewe peke yako lakini madhara ya pombe ni kukuua kwanza wewe pamoja na mafanikio ya familia yako, na possibly jamii inayokuzunguka!
 
Madhara yake hayana tofauti sana na yale ya sumu, tofauti tu ni kwamba ukinywa sumu unakufa palepale, wewe peke yako lakini madhara ya pombe ni kukuua kwanza wewe pamoja na mafanikio ya familia yako, na possibly jamii inayokuzunguka!
Ahsante ndugu!
Noted!
 
Back
Top Bottom