Natamani kujua utamu wa pombe!!!

sina hamu ya kunywa nitapiga nne nasepa zangu kulala ila nikijua natoboa mpaka asubuhi duuuh ndio balaa litaanzia hapo....
kuna siku mie na kaka yangu tulizima mazima pale coco bichi kuja kushtuka mornie simu zetu za tochi wamelamba
Aiseeeh!starehe yenye karaha hyo sasa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipo siku tu
Woooooooooooooozeeeeeeeeerrrrrr. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni kuongea tu lakini nikifika kitandani sichukui round nalala
 
Ukitaka kujifunza pombe anza na st ane changanya na ice na maji kidgo.


Saa mbili usiku mpka saa sits chupa utakuwa imeisha.

Ukivuka hio stage amia dompo.

Baada ya dompo njoo kwenye Serengeti light

Mpka ifike december utakuwa unakunywa balimi.
balimi
kwa mara ya kwanza na ya mwisho nilipiga sita tena yale machupa yake makubwa
kilichonisaidia kufika home ni nyama ya kitimoto bila ivyo sijui ni nini kingetokea ile siku
 
Huenda next Weekend [emoji144]
 
Shenzyyy wewww[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…