Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hapana sio kwa maswali hayo pombe haipo hivyo sio labda ni kitu cha ajabu unakunywa unalewa kistaarabu tuShuuuu...we si ndo mwl wangu sasa ntalewaje bila weeyee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sio kwa maswali hayo pombe haipo hivyo sio labda ni kitu cha ajabu unakunywa unalewa kistaarabu tuShuuuu...we si ndo mwl wangu sasa ntalewaje bila weeyee
Aiseeeh!starehe yenye karaha hyo sasa!sina hamu ya kunywa nitapiga nne nasepa zangu kulala ila nikijua natoboa mpaka asubuhi duuuh ndio balaa litaanzia hapo....
kuna siku mie na kaka yangu tulizima mazima pale coco bichi kuja kushtuka mornie simu zetu za tochi wamelamba
Woooooooooooooozeeeeeeeeerrrrrr. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipo siku tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni kuongea tu lakini nikifika kitandani sichukui round nalala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuzungushe tu hakuna namna namsumbua halafu ilikuwa saa 7 usiku kuona simu yangu akamute akaona naendelea tu kupiga ikabidi apokee tu yaani nikilewa salama ni upokee simu au uzime naweza nikakupigia mpaka asubuhi
Sasa mwenzio asubuhi niliamka nikaenda kazini mzimaaaBasi 5 zile nililewa sana nafika naanza kusumbua kwenye simu kupiga
Inategemea na ntu na ntu[emoji3][emoji16][emoji23]duuhh!ukilewa si unajitambua lakini
balimiUkitaka kujifunza pombe anza na st ane changanya na ice na maji kidgo.
Saa mbili usiku mpka saa sits chupa utakuwa imeisha.
Ukivuka hio stage amia dompo.
Baada ya dompo njoo kwenye Serengeti light
Mpka ifike december utakuwa unakunywa balimi.
Huenda next Weekend [emoji144]Woooooooooooooozeeeeeeeeerrrrrr. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kichwa chako hakiwezi nyingi basibia nne zinatosha kabisa mambo ya kulewa mpaka tunakubeba siyapendi kabisa yani
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni kuongea tu lakini nikifika kitandani sichukui round nalala
Sasa mwenzio asubuhi niliamka nikaenda kazini mzimaaa
Shenzyyy wewww[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuzungushe tu hakuna namna namsumbua halafu ilikuwa saa 7 usiku kuona simu yangu akamute akaona naendelea tu kupiga ikabidi apokee tu yaani nikilewa salama ni upokee simu au uzime naweza nikakupigia mpaka asubuhi
Huenda next Weekend [emoji144]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mm nikianza kulewa nakuwa muongeaji jamani khaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ipi nzuri kuanza nayo