Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Natamani kujua utamu wa pombe!!!

[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]ngoja nijipange sasa
unaanza na nusu chupa mdogomdogo mpaka chupa nzima mwishowe chupa na nusu baada ya wiki 2 unajikuta unapiga mpaka chupa mbili mwenyewe ukifika mwezi unaweza bugia nne mpaka tano kwa siku
 
Back
Top Bottom