Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Swali ni kama inalipa?Kama unashamba kwa nini usilime?lima mkuu ili ukazisome namba zile zilipo kwenye gwanda zenye rangi ya orange
Bangi inalipa sana andaa na pesa ya kukutoa seloSwali ni kama inalipa?
Nikilima heka moja naweza pata kiasi gani. Unaonekana unaexperience kidogoBangi inalipa sana andaa na pesa ya kukutoa selo
Selo hawezi kukaa ila polisi inabidi asiwaogope watakuja sura tofauti tofauti Mara kwa Mara maana iyo ni biashara ya uhakika na pesa yake ni ya uhakika pia.Bangi inalipa sana andaa na pesa ya kukutoa selo
Upo mkoa gain???Nikilima heka moja naweza pata kiasi gani. Unaonekana unaexperience kidogo
Ni lini umewahi sikia nimesema hali ngumu?Eti hali ngumu ni lini hali ilikuwa nzuri kwako?
Umeendea mixer au dry?πππππDah sijui kwanini nimeingia kwenye huu uzi ,imenibidi nitoke nikatafute kitu