Natamani kulima Bange kwa jinsi hali ilivyokuwa ngumu

Natamani kulima Bange kwa jinsi hali ilivyokuwa ngumu

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
Ndugu zangu naomba ushauri. Hali imekuwa ngumu. Nimeanza kusoma number za kirumi sasa. Natamni nikalime bange. Naomba ushauri. Inalipa?
d7c9bbe4fbef059e3cbafbaf899df91c.jpg
 
Kama unashamba kwa nini usilime?lima mkuu ili ukazisome namba zile zilipo kwenye gwanda zenye rangi ya orange
 
Inalipa sana, tena uki peleka comoro soko kubwa kule...
 
Mkuu kama utahitaji mkopo wa kuanzia nishtue ila kwa makubaliano ya kuniuzia kwa bei nzuri utakapovuna.
 
Mkuu heradius12 picha hii nzuri sana na inatufundisha mengi hasa katika ulimwengu wa fursa japo usisahau kuwa wale mashabiki wa Darassa waliibuliwa kutoka kwenye video walioipiga wenyewe. Tz ya viwanda wazee wanasubiri ushahidi ofisini!
 
Back
Top Bottom