Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

Nmemkazia mpaka leo (mwaka wa 3). Na mtoto ambaye alikua anamtumia kama fimbo nimemwachia.
 
Kama wewe ni mwanaume na mwenzawako(mwanamke) amekuchunia mpaka leo jua kuna mahali huyo manzi unapewa ahuweni. Vinginevye asingepitisha hata siku 2.Pole sana
Shida ni kwamba kuna siku alinicheki kabla ta kutimia wiki na mimi nikawa namfanyia makusudi kuchelewa kujibu text zake na najibu baada ya masaa matatu na alikua akipigia sipokei.Nipo dilemma.
 
🀣🀣 Huyu kijana bado kwenye aya mambo. Unaweza meza sumu. Tumuokoe.

Na akijua una view status anaanz weka picha leo yupo out expensive, kesho kanunuliwa iPhone 15 mara kaenda Zanzibar...
Hiyo cha mtoto mimi alikuwa anapost picha za kaka zake(siwajui) anaandika I love you, anajua nitaumia. Nilipoona hizo mambo nikapiga block. Mbona alinitafuta mwenyewe akasema yote
 
Roho Mtakatifu anakwambia shuka mwanangu,
Lucifer anasema VIMBA MWAMBAAA,usiwe mnyonge!!

Yesu alinyenyekea bila kujali ukubwa wake.
#AMANI INATAFUTWA,AMANI HAIJI YENYEWE.
 
Bora aende na maji kuliko kumnyenyekewa, otherwise niwe nimemkosea mimi tena kosa la maana.
kaza usionekane huna pa kwenda
Alafu na yeye akikaza, unapata stress?

Kuanza kumtafuta mpenzi wako, hasa pale mnapokuwa mmekosana haimaanishi wewe ni dhaifu. Haya mambo yanategemea na plans zenu zipoje. Siwezi kumpoteza mpenzi wangu kwa kitu kidogo kama kusema "Sorry".

Binafsi nikiwa wrong na admit, na ikiwa yeye ndio yupo wrong, lazima nitamwambia shida ilipo na what I expect from her. I get angry, lakini sinaga mtindo wa kununiana for days. Naweza Kaa kimya for hours, then nikisha calm down( au yeye), then we talk.
 
Hii bado sana,,mi alinipostia status mwanamke nlowahi kumfuma nae kuulza anasema,kampost kam mdogo wake, aaarrrgh sikujali nilmwambia kwenda na mtoto unaetumia kam chambo nalea mwenyewe πŸ˜„πŸ™ŒπŸΎ
Hiyo cha mtoto mimi alikuwa anapost picha za kaka zake(siwajui) anaandika I love you, anajua nitaumia. Nilipoona hizo mambo nikapiga block. Mbona alinitafuta mwenyewe akasema yote
 
Mpk hapo inaonesha wewe ndo mdaifu, ila inategemea nani kamkwaza mwenzie. Kama alikuvimbia jua hana feelings na wewe, kama wewe ndo ulimvimbia mcheki na weka mambo sawa. Najua mapenzi yanaumiza ila kama unaona hana hisia kwako tema mapema, jiforce tu hivyohivyo na kuhakikishia baada ya miezi 3 mpk 6 utakua free na hauta muwazia mabaya. Usiruhusu hisia zitawale najua ni ngumu ila jitahidi
 
Shukrani kwa ushauri πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…