Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Akija kushtuka, jina lishabadilika. Anaitwa Dear x🤣🤣🤣🤣 Acha kuongea ukweli basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akija kushtuka, jina lishabadilika. Anaitwa Dear x🤣🤣🤣🤣 Acha kuongea ukweli basi
Bora kuitwa dear x kuliko kuwa kwenye mahusiano mabovuAkija kushtuka, jina lishabadilika. Anaitwa Dear x
🤣🤣🤣🤣 hatareee na wapenzi wenyewe hawa wa siku hizi ndio kwanza anajipongeza na savannah baridi kufurahia kutua zigo la misumariAkija kushtuka, jina lishabadilika. Anaitwa Dear x
😂😂😂 Ww acha kukaza fuvu utakufa shauri zako, za kuambiwa changanya na zako.!!!Bora kuitwa dear x kuliko kuwa kwenye mahusiano mabovu
Daaah sasa unanishaurije kiongozi 😅😅😅😂😂😂 Ww acha kukaza fuvu utakufa shauri zako, za kuambiwa changanya na zako.!!!
Utakosa mtu sahihi maishani mwako kwa kusikiliza ushauri wa watu ambao wao wenyewe hawaufati.!!
Watu wa dar mna vituko 🤣Yapata wiki sasa tangu tupishane kiswahili na mwandani wangu
Kuna muda wazo la kumcheki linanijia lakini najikaza kisabuni kwa kuogopa ataniona niko so weak kwake.
Ooh my God why this happen to me. Lord give me strength to overcome this
Kilichobaki akili na moyo vinapingana, moyo unanishawishi nimcheki hata kwa kumtext lakini akili inakataa kabisa na kunambia uthithubutu.
Sasa wote tukiendekeza ego nani ataanza kumcheki mwenzake?
Daah nipo dilemma mwenzenu
Mapenzi mapenzi mapenzi
Ni maumivu tu badala ya furaha
Nakufa kijerumani na tai shingoni
Anyway kumpenda nampenda nikizidiwa nitamcheki
Hapo ndio watu huwa wanakosea kwa kutojua nini wanataka.Bora kuitwa dear x kuliko kuwa kwenye mahusiano mabovu
Mshauri jamaa aache kununa 😅🤣🤣🤣🤣 hatareee na wapenzi wenyewe hawa wa siku hizi ndio kwanza anajipongeza na savannah baridi kufurahia kutua zigo la misumari
Hao waliokupa ushauri sijui muache, piga chini usimtafute, kaza mwanangu, majority ni waongo hawafanyi hivo kwa wenzi wao, kifupi kibodi warrior usiwasikilize. Hao wengine wanawafumania wake zao na wanauchuna ila wakiwa huku wanatamba na fake ID zao.Daaah sasa unanishaurije kiongozi 😅😅😅
🤣🤣🤣 Halafu siku hizi wanaume mmekuwa na tabia ya kujinunisha sijui kwann??!! Au vyakula mnavyokula vinawapa tabia za kike?!Mshauri jamaa aache kununa 😅
😅😅😅 Generalization ndio kitu ambacho Mimi nakataa siku zote. Binafsi siwezi kubeba lawama za group. Pengine hao uliokutana nao ndio wenye hizo tabia za kujinunisha, ila sio Mimi. Swali la kujiuliza, nanuna ili iweje??!🤣🤣🤣 Halafu siku hizi wanaume mmekuwa na tabia ya kujinunisha sijui kwann??!! Au vyakula mnavyokula vinawapa tabia za kike?!
Hizo tabia zetu ndio mmerithi nyie siku hizi.
Kumbe ulibipu Sasa yeye kakupigia mzimaShida ni kwamba kuna siku alinicheki kabla ta kutimia wiki na mimi nikawa namfanyia makusudi kuchelewa kujibu text zake na najibu baada ya masaa matatu na alikua akipigia sipokei.Nipo dilemma.
🤣🤣🤣🤣 bora ww unajitambua, utaishi maisha marefu na yenye furaha sana shemeji endelea hivo hivo😅😅😅 Generalization ndio kitu ambacho Mimi nakataa siku zote. Binafsi siwezi kubeba lawama za group. Pengine hao uliokutana nao ndio wenye hizo tabia za kujinunisha, ila sio Mimi. Swali la kujiuliza, nanuna ili iweje??!
Labda iwe nimeona hapa it's over, ila kinyume na hapo, tunagombana, unavimba, hasira zikiisha naomba utelezi tunasameheana 😅.
Haka kajamaa katakuwa na gubu
Chap kwa haraka..inakamu😂😂
Samahani bro, naomba hela..!
Amina 😊🤣🤣🤣🤣 bora ww unajitambua, utaishi maisha marefu na yenye furaha sana shemeji endelea hivo hivo
Poa mkuu shukraniHao waliokupa ushauri sijui muache, piga chini usimtafute, kaza mwanangu, majority ni waongo hawafanyi hivo kwa wenzi wao, kifupi kibodi warrior usiwasikilize. Hao wengine wanawafumania wake zao na wanauchuna ila wakiwa huku wanatamba na fake ID zao.
Ww mtafute beiby wako myajenge hakuna asiyekosea na aliyekamilika hapa chini ya jua.
Unaweza kumuacha kwa kosa la kijinga ambalo linaweza kurekebishika halafu ukaja kuangukia kwa mwingine ambaye ndio kichefuchefu zaidi..!! Mi mwenyewe nimemkumbuka ex wangu nilimuacha kwa kosa la kijinga, halafu sijaona wa kumreplace mpk leo nabaki kujuta.
Tumejifunza kufunika kombe mwanaharamu apite kwa kuondoa mabishano ingawa kukaa kimya hutafsiriwa Kama mnuno. Tukiamua kuongea mahusiano yanakufa maana kuna wakati hamuwezagi kujishusha na hamchagui silaha ya kushusha kwenye moyo wa mtu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu siku hizi wanaume mmekuwa na tabia ya kujinunisha sijui kwann??!! Au vyakula mnavyokula vinawapa tabia za kike?!
Hizo tabia zetu ndio mmerithi nyie siku hizi.