Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Acha Umama Wewe.
Utamsahau Tu Muda Mwalimu Mzuri Sana
Utamsahau Tu Muda Mwalimu Mzuri Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa kimya watu wabonyeze maparachichi km yameivaUkimya wako, ni sherehe kwa jamaa mwingine
Na sio kubonyeza tu, wanapita nayo mazima.Kaa kimya watu wabonyeze maparachichi km yameiva
Wanaminyaminya nyanya wananunua bilinganyaNa sio kubonyeza tu, wanapita nayo mazima.
Shukrani sana kaka kwa ushauriUkilegeza umeumia yeye anakuwa kwenye controlling position.... usije kutulaumu tumeshakushauri
Hamna wengine hakuna chochote ni kujinunisha tyuuu!!Tumejifunza kufunika kombe mwanaharamu apite kwa kuondoa mabishano ingawa kukaa kimya hutafsiriwa Kama mnuno. Tukiamua kuongea mahusiano yanakufa maana kuna wakati hamuwezagi kujishusha na hamchagui silaha ya kushusha kwenye moyo wa mtu.
7 billion people in the world..Yapata wiki sasa tangu tupishane kiswahili na mwandani wangu
Kuna muda wazo la kumcheki linanijia lakini najikaza kisabuni kwa kuogopa ataniona niko so weak kwake.
Ooh my God why this happen to me. Lord give me strength to overcome this
Kilichobaki akili na moyo vinapingana, moyo unanishawishi nimcheki hata kwa kumtext lakini akili inakataa kabisa na kunambia uthithubutu.
Sasa wote tukiendekeza ego nani ataanza kumcheki mwenzake?
Daah nipo dilemma mwenzenu
Mapenzi mapenzi mapenzi
Ni maumivu tu badala ya furaha
Nakufa kijerumani na tai shingoni
Anyway kumpenda nampenda nikizidiwa nitamcheki
Ule uzi nliupenda sanaKuna mwamba aliwahi leta uzi: Tujifunze kubalance shobo.
Sasa hapo ndio balance shobo + Linda brand.
Kabiiiiiiiiiisa
Komaa tu nwenyewe ata bow aidha direct or indirect ukilegeza inakula kwako mazimaYapata wiki sasa tangu tupishane kiswahili na mwandani wangu
Kuna muda wazo la kumcheki linanijia lakini najikaza kisabuni kwa kuogopa ataniona niko so weak kwake.
Ooh my God why this happen to me. Lord give me strength to overcome this
Kilichobaki akili na moyo vinapingana, moyo unanishawishi nimcheki hata kwa kumtext lakini akili inakataa kabisa na kunambia uthithubutu.
Sasa wote tukiendekeza ego nani ataanza kumcheki mwenzake?
Daah nipo dilemma mwenzenu
Mapenzi mapenzi mapenzi
Ni maumivu tu badala ya furaha
Nakufa kijerumani na tai shingoni
Anyway kumpenda nampenda nikizidiwa nitamcheki
Shukrani sana 🙏Komaa tu nwenyewe ata bow aidha direct or indirect ukilegeza inakula kwako mazima
Thanks man i appreciate 🙏7 billion people in the world..
Lakini ndio hivyo unapambana na limbwata or
you are too emotional and weak
Kwa mwanaume kiwa emotional kiasi hichi badala ya kitumia logic kwenye mahusiano it’s a disaster
Fouc kwenye mambo ya msingi stop worrying about sum dumb shi!t and drama
Shukrani 🙏Fanya vile unahisi moyoni mwako. Hawa wanaokuambia ukaze usimtafute nao wana ya kwao ni vile hawasemi. Mahusiano yako wewe ndio muamuzi wa mwisho, usikubali kumpoteza mpenzi wako kirahisi ati kisa utaonekana mnyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaza mtu mbadi. Ukimcheki utaonekana boya. Utoto raha sanaYapata wiki sasa tangu tupishane kiswahili na mwandani wangu