PMNBuko
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 967
- 154
- Thread starter
-
- #21
Well said...kama unataka kukaa na familia na kutulia hili ni jambo la kushughulikia
Tafadhali tafuta msaada zaidi wakati huu ambao sense yako inakusaidia kuona hili kuwa ni tatizo...ukichelewa brain system yako itakufanya uone ya kuwa ni jambo sahihi.
Kwa mfano hadi hapa kuna watu wameshakushauri kuwa endelea kukamu, ni mawazo mazuri kimsingi kwa mtazamo wao, lakini je ndido msaada unaotaka? kama sivyo weka pembeni maana utaendelea kuathirika brain system yako na hivyo kujikuta huna mahali pa kuchomoka
Kaka inawezekana kuwa na control ya mambo haya, nitaku-PM kukupa mfano mmoja mzuri wa mtu aliechomoka kwenye hali kama hii na kile alichofanya/alichosaidiwa mapaka akachomoka hapo
Ushauri mzuri huo. Ila ni kweli wanaonisifia labda ni kama mimi au wananitania, ila nayapokea kwani hayo ni mawazo yao. Nipe vivids hizo!!