Natamani kumpata kila msichana apitaye machoni mwangu? Why? Ushauri ...pls

Natamani kumpata kila msichana apitaye machoni mwangu? Why? Ushauri ...pls


Well said...kama unataka kukaa na familia na kutulia hili ni jambo la kushughulikia

Tafadhali tafuta msaada zaidi wakati huu ambao sense yako inakusaidia kuona hili kuwa ni tatizo...ukichelewa brain system yako itakufanya uone ya kuwa ni jambo sahihi.

Kwa mfano hadi hapa kuna watu wameshakushauri kuwa endelea kukamu, ni mawazo mazuri kimsingi kwa mtazamo wao, lakini je ndido msaada unaotaka? kama sivyo weka pembeni maana utaendelea kuathirika brain system yako na hivyo kujikuta huna mahali pa kuchomoka

Kaka inawezekana kuwa na control ya mambo haya, nitaku-PM kukupa mfano mmoja mzuri wa mtu aliechomoka kwenye hali kama hii na kile alichofanya/alichosaidiwa mapaka akachomoka hapo

Ushauri mzuri huo. Ila ni kweli wanaonisifia labda ni kama mimi au wananitania, ila nayapokea kwani hayo ni mawazo yao. Nipe vivids hizo!!
 
Tatizo:UNA TAMAA kupitiliza!Ushauri:ACHA TAMAA!

Lizzy, thanks. Fine, tamaa ni nayo make hadi nitamani kumdu kila mrembo, ni tamaa tosha. Lakini what should I do exactly. Nikupe mfano, siku moja nilimdu binti mmoja, alipita mitaani kwetu nikamwona mrembo kapendeza sana. Nilikuwa sina kazi wakati ule nikachomoka home, nikamfuatilia hadi nikamfikia. Nikampiga sound, tukaenda kupata moja moto moja baridi. Kesho yake, kitu kikaeleweka. Lakini ndom ikapasuka. Baada ya wiki nikaenda kupima ngoma, nikajikuta sina. Nikajipa moyo, nikaahidi moyo wangu kwamba kamwe sirudii tena. Nilifuta namba zote za mademu wangu kama 5 hivi, nayeye akiwemo. Lakini, wiki mbili mbele tayari nilishapigiwa simu ooh mbona kimya? na hapo nikawa save tena upya!!!
 
Ushauri mzuri huo. Ila ni kweli wanaonisifia labda ni kama mimi au wananitania, ila nayapokea kwani hayo ni mawazo yao. Nipe vivids hizo!!


Nimeku-PM mkuu, take experience and hope itakusaidia......Mwanadamu sio msahafu au Biblia kwamba havibadiliki, human being are subject to change at any time given they are exposed, or they expose themselves, to environment necessary to foster for their changes
 
Ni hali ya kawaida kabisa, itapita........
 
Lamba lamba ukipata maradhi ndio utajua urembo umekaaje?
 
Unasikitisha sana..yani una mke alafu unaendekeza uchafu hivyo?Sijui watu wengine hua wanaoa ili iweje haswa??Get a shrink!Unahitaji msaada wa kisaikolojia!
 
angekuwa mwinhine hapa angeambiwa hana akili na ana stress

Dada ukikaa kutaka kuwaelewa hawa kaka zetu jifunze kusoma katikati ya mistari zaidi ya hapo kila siku utaishia kukosa points za maana kwa kutaka kukompea huku na kule..hili na lile!Alafu take it easy..utaumwa kichwa bure!
 
Kwa vyovyote vile ulianza kama mazoea na sasa imekuwa tabia. Kwa sasa huwezi control tamaa yako ila kwa msaada wa maombi na kubadili mwenendo itakusaidia.

Jitahidi unapotoka kwa matembezi toka na mkeo, kama ratiba zenu kikazi zinafanana tumieni usafiri mmoja, mpendezeshe mkeo ili tamaa iwe kwake zaidi, mfanye mkeo kuwa rafiki na punguza ama epuka kampani ya marafiki wanaoendekeza ngono nje ya ndoa.

Kaka kuna 'watoto wakali' wanazaliwa miaka hii usipochunga utapoteza focus ya maisha.
 
Ndugu zangu wapendwa... Habarini za jioni?!

Imekuwa ni kasumba yangu na pengine hata kwa wanaume wenzangu (ambao wako wazi kuzungumzia ukweli kuhusu wao) kwamba, kila akipita mwanamke/msichana mrembo (Asiye ndugu yangu) karibu au hata mbali kidogo, namgeuka na kutamani nimtongoze, na anikubalie. Natamani kumpata kila binti mrembo anayekatiza machoni mwangu. Wakati fulani nimetimiza azma hiyo, na nimefanikiwa na pengine najilazimisha kuacha kumfuatilia kwa lengo la kumtongoza. Mke ninaye na ni mrembo. Nina mpenda naye ananipenda tena sana. Binafsi, siifurahii tabia hii na ningefurahi kama ningepunguza kasi hii hasa ukizingatia hali halisi ya sasa kwani magonjwa ni mengi sana, hasa VVU/UKIMWI. Je, nifanyeje ili niepukane na tabia hii?? Je ni tatizo la kiafya? Tafadhali wanaJF nipeni ushauri unaonifaa kwa ajili ya mustakabali wa maisha yangu... Nashukuru!!
njo nikufanyie maombi, kwa mungu hakuna linaloshindikana.
 
we si unajifanya una nanihii ndefu, endelea. Huwa vvu wanaanzia kutafuna hiyohiyo.
 
Hapo huna la kufanya mjomba mana watoto w cku hiz ni wakali balaa unakuta katoto kadogoo ht miaka 15 hakajafikisha ila ana mkia!!! mh! ..... ucjibanie mjomba kila anayejitokeza we tia neno 2.
 
tatizo lako ni la kawaida,inachotakiwa uoe au uishi na mwanamke ndani itakusaidia sana....
umri na hormones ndio tatizo....ni normal....
 
tatizo lako ni la kawaida,inachotakiwa uoe au uishi na mwanamke ndani itakusaidia sana....
umri na hormones ndio tatizo....ni normal....


Boss umepotea sana siku hizi Mkuu. Nafurahi kukuona. Mzima lakini?..miye poa kabisa.
 
Back
Top Bottom