Halafu hicho kikundi cha watekaji na wauaji ni wajinga kweli kweli, maana sioni kama wanamsaidia rais zaidi ya kumuongezea maadui. Halafu jiulize unatoka nyumbani kwako una watoto wako au ndugu zako au mama yako au baba yako au rafiki yako unaenda kazini unatumwa ukamuue mtu aliyeshauri muelekeo wa serikali hivi ukirudi home unakuwa na akili za kawaida????? In short hicho kikundi cha chinja chinja kina laana ya kufa vifo vibaya sana. Na KIBAYA KABISA hawafaidi chochote, mshahara midogo na wanaishi maisha magumu mno ya kuunga unga na muda nao wanauliwa hahahaha.HUYU N MSTAAFU PEKEEE ALIEBAKIA KUONGEA WAPI TUNAELEKEA KWENYE MAMBO YAKUPITEXANA
SHIKAMOO BABU POPOTE ULIPO
Uko sahihi mkuu..Yeye alishasema wazi kabisa kuwa serikali inayoteka na kuua watu lazima wananchi waifute.Mzee wetu alitupa mbinu.Imebaki tu utekelezaji Kwa wananchi.
Hyo mzee walimnyima kuongea kwenye msiba wa mzee msuya na wakampiga vijembe.HUYU N MSTAAFU PEKEEE ALIEBAKIA KUONGEA WAPI TUNAELEKEA KWENYE MAMBO YAKUPITEXANA
SHIKAMOO BABU POPOTE ULIPO