Mtondoli
Member
- Nov 9, 2021
- 70
- 174
Niseme ukweli nape nnauye ni kiongozi, tangia akiwa na uongozi chamani, akawa waziri na mbunge nasikia watu wakimkandia sana lakini nape ninatamani kumuona tena katika uongozi wa juu.
Nape anafaa kabisa hata kuwa rais wa nchi hii, kapita mikononi mwa viongozi wengi mimi sijawahi kusikia Nape ana kashfa yoyote kibinafsi kama ufisadi, au rushwa namwamini Sana, hapa Kati Kati alishindwa kuendana na mfumo wa siasa wa mwendazake, hata ningekuwa mm ningeshindwa
Wakamuona mbaya na kumbe mfumo wa mchezo umebadilika kocha anataka kuabudiwa nape kashindwa katolewa mchezoni Yuko benchi, lakini bado ametulia kimya nakumbuka nape na kinana walivyoipigania CCM, wakati huo hali ni mbaya Lowasa anataka kuchukua nchi,nape alizunguka nchi nzima. Nape alinusurika hata kifo, akajijengea maadui wengi kwa kukipigania chama.
Niseme ukweli Nape ni shujaa anaeishi kama roboti, wamemng'oa meno, na kujaribu kumpa tuhuma mbalimbali kwa kumuita msaliti mim nasema wao ndio wamemsaliti nape, bado nikijana najua mungu atamwinua Tena, akina Mwigulu, Jafo, na wengine wote walikuwa majimboni mwao wakati nape akizunguka nchi nzima.
Kosa kubwa la Nape ni kumtukana lowasa, hilo namsihi Sana aende akamuombe radhi