Natamani kumuona tena Nape Nnauye katika Uongozi wa juu

Mimi ninachojua nape ni mkurupukaji.
Hata wakat anazunguuka na kinana.
Mzee kinana alikua na.kazi ya kumtuliza nape.

Mana nape.akitukana kinana anamwambia aache.matusi.
Hivyo,mtu mkulupukazi uongozi sio sehemu yake.
Siyo mtamu hata kidogo
 
Niseme ukweli nape nnauye ni kiongozi, tangia akiwa na uongozi chamani, akawa waziri na mbunge nasikia watu wakimkandia sana lakini nape ninatamani kumuona tena katika uongozi wa juu.
Wapo watz wazuri zaidi yake,muda wake ulishapita, nao wakubali kuongozwa na watz wengine wenye sifa
 
Kwa lipi haswa?
Yupo kwenye siasa kitambo hana alilolisaidia Taifa zaidi ya uvivu
 
Niseme ukweli nape nnauye ni kiongozi, tangia akiwa na uongozi chamani, akawa waziri na mbunge nasikia watu wakimkandia sana lakini nape ninatamani kumuona tena katika uongozi wa juu.

Nape anafaa kabisa hata kuwa rais wa nchi hii, kapita mikononi mwa viongozi wengi mimi sijawahi kusikia Nape ana kashfa yoyote kibinafsi kama ufisadi, au rushwa namwamini Sana, hapa Kati Kati alishindwa kuendana na mfumo wa siasa wa mwendazake, hata ningekuwa mm ningeshindwa

Wakamuona mbaya na kumbe mfumo wa mchezo umebadilika kocha anataka kuabudiwa nape kashindwa katolewa mchezoni Yuko benchi, lakini bado ametulia kimya nakumbuka nape na kinana walivyoipigania CCM, wakati huo hali ni mbaya Lowasa anataka kuchukua nchi,nape alizunguka nchi nzima. Nape alinusurika hata kifo, akajijengea maadui wengi kwa kukipigania chama.

Niseme ukweli Nape ni shujaa anaeishi kama roboti, wamemng'oa meno, na kujaribu kumpa tuhuma mbalimbali kwa kumuita msaliti mim nasema wao ndio wamemsaliti nape, bado nikijana najua mungu atamwinua Tena, akina Mwigulu, Jafo, na wengine wote walikuwa majimboni mwao wakati nape akizunguka nchi nzima.

Kosa kubwa la Nape ni kumtukana lowasa, hilo namsihi Sana aende akamuombe radhi
UNAHAM MKAJIPIGE SELFIE NA BAO LA MKONO AKA PUNYETO?
 
unatamani kumuona nape katika uongozi nenda akhera huko atakuwa kiongozi wa wanafiki kaburini
 
Sawa bwana Nauye ila nikukumbushe tu hii nchi sio ya kifalme! Na tutaomba sana hiko kipengele kizingatiwe kwenye katiba mpya!

Maswala sijui kwa kuwa babaake flani alikipigania chama ndio mwanae apewe uwaziri ni mambo ya kichoko. All the influential positions wawekwe watu wapya ambao hawana affiliates na wastaafu kwa namna yeyote ile.

Hii biashara ya Karume raisi na mwanae raisi, Mwinyi raisi basi na Mwanae awe raisi ni mambo ya hovyo! Kama ni kuwafadhili wapeni hata ubalozi huko nje ila sio kujazana kwenye cabinet ya mawaziri au huku kwenye ukurugenzi na hata uraisi!
Huu upumbavu utaligarimu taifasikumoja, sasaivi babazao wanaishia ishia kizazi hiki hakita vumilia ujinga wa kupeana uongozi kama mandazi ndugu kwa ndugu mambo ya hovyo sana. Tupo zaidi ya mill 60/ yani silazima mtoto wa kiongozi kuwa kiongozi.
 
Niseme ukweli nape nnauye ni kiongozi, tangia akiwa na uongozi chamani, akawa waziri na mbunge nasikia watu wakimkandia sana lakini nape ninatamani kumuona tena katika uongozi wa juu.

Nape anafaa kabisa hata kuwa rais wa nchi hii, kapita mikononi mwa viongozi wengi mimi sijawahi kusikia Nape ana kashfa yoyote kibinafsi kama ufisadi, au rushwa namwamini Sana, hapa Kati Kati alishindwa kuendana na mfumo wa siasa wa mwendazake, hata ningekuwa mm ningeshindwa

Wakamuona mbaya na kumbe mfumo wa mchezo umebadilika kocha anataka kuabudiwa nape kashindwa katolewa mchezoni Yuko benchi, lakini bado ametulia kimya nakumbuka nape na kinana walivyoipigania CCM, wakati huo hali ni mbaya Lowasa anataka kuchukua nchi,nape alizunguka nchi nzima. Nape alinusurika hata kifo, akajijengea maadui wengi kwa kukipigania chama.

Niseme ukweli Nape ni shujaa anaeishi kama roboti, wamemng'oa meno, na kujaribu kumpa tuhuma mbalimbali kwa kumuita msaliti mim nasema wao ndio wamemsaliti nape, bado nikijana najua mungu atamwinua Tena, akina Mwigulu, Jafo, na wengine wote walikuwa majimboni mwao wakati nape akizunguka nchi nzima.

Kosa kubwa la Nape ni kumtukana lowasa, hilo namsihi Sana aende akamuombe radhi
Umeongea fact mkuu,

Samia ampe uwaziri Nape akitaka atufurahishe sisi watetezi wake na wananchi kwa ujumla,
Nape Ni kiongozi makini sana
 
Mimi ninachojua Nape ni mkurupukaji.
Hata wakat anazunguuka na kinana.
Mzee kinana alikua na.kazi ya kumtuliza nape.

Mana Nape.akitukana kinana anamwambia aache.matusi.
Hivyo,mtu mkulupukazi uongozi sio sehemu yake.
na dikteta aliyekuwa anatukana watu azalani mbona umsemi!
 
Niseme ukweli nape nnauye ni kiongozi, tangia akiwa na uongozi chamani, akawa waziri na mbunge nasikia watu wakimkandia sana lakini nape ninatamani kumuona tena katika uongozi wa juu.

Nape anafaa kabisa hata kuwa rais wa nchi hii, kapita mikononi mwa viongozi wengi mimi sijawahi kusikia Nape ana kashfa yoyote kibinafsi kama ufisadi, au rushwa namwamini Sana, hapa Kati Kati alishindwa kuendana na mfumo wa siasa wa mwendazake, hata ningekuwa mm ningeshindwa

Wakamuona mbaya na kumbe mfumo wa mchezo umebadilika kocha anataka kuabudiwa nape kashindwa katolewa mchezoni Yuko benchi, lakini bado ametulia kimya nakumbuka nape na kinana walivyoipigania CCM, wakati huo hali ni mbaya Lowasa anataka kuchukua nchi,nape alizunguka nchi nzima. Nape alinusurika hata kifo, akajijengea maadui wengi kwa kukipigania chama.

Niseme ukweli Nape ni shujaa anaeishi kama roboti, wamemng'oa meno, na kujaribu kumpa tuhuma mbalimbali kwa kumuita msaliti mim nasema wao ndio wamemsaliti nape, bado nikijana najua mungu atamwinua Tena, akina Mwigulu, Jafo, na wengine wote walikuwa majimboni mwao wakati nape akizunguka nchi nzima.

Kosa kubwa la Nape ni kumtukana lowasa, hilo namsihi Sana aende akamuombe radhi
Mla rushwa mkubwa mil 800 alihongwa. Nape ni mtu wa makundi, jinsi alivyo si hawezi kujisimamia, yaani ni mtu wa fadhila. Hivyo kiwa kiongozi mkubwa hafai hata urais hafai kabisa atauza nchi kama ilivyo sasa kila kukicha tunasikia eti na kusifia nchi imekopa??? Tunashindwa kusimamia vyanzo vyetu vya mapato tunaenda kukopa??????? Tena tunajisifia????? Mungu atushushia Dkt Magufuli mwingine haraka
 
Niseme ukweli nape nnauye ni kiongozi, tangia akiwa na uongozi chamani, akawa waziri na mbunge nasikia watu wakimkandia sana lakini nape ninatamani kumuona tena katika uongozi wa juu.

Nape anafaa kabisa hata kuwa rais wa nchi hii, kapita mikononi mwa viongozi wengi mimi sijawahi kusikia Nape ana kashfa yoyote kibinafsi kama ufisadi, au rushwa namwamini Sana, hapa Kati Kati alishindwa kuendana na mfumo wa siasa wa mwendazake, hata ningekuwa mm ningeshindwa

Wakamuona mbaya na kumbe mfumo wa mchezo umebadilika kocha anataka kuabudiwa nape kashindwa katolewa mchezoni Yuko benchi, lakini bado ametulia kimya nakumbuka nape na kinana walivyoipigania CCM, wakati huo hali ni mbaya Lowasa anataka kuchukua nchi,nape alizunguka nchi nzima. Nape alinusurika hata kifo, akajijengea maadui wengi kwa kukipigania chama.

Niseme ukweli Nape ni shujaa anaeishi kama roboti, wamemng'oa meno, na kujaribu kumpa tuhuma mbalimbali kwa kumuita msaliti mim nasema wao ndio wamemsaliti nape, bado nikijana najua mungu atamwinua Tena, akina Mwigulu, Jafo, na wengine wote walikuwa majimboni mwao wakati nape akizunguka nchi nzima.

Kosa kubwa la Nape ni kumtukana lowasa, hilo namsihi Sana aende akamuombe radhi
Kwanini usijipigie wewe chapuo
Unamtafutia mwenzako ugali

Ova
 
na dikteta aliyekuwa anatukana watu azalani mbona umsemi!
Mkuu fuatalia kama kunasehemu nimewahi kumkubali jiwe kabla na hata baada ya kuitwa mwendaza.

Ote hao.ni wa hovyo tu.

Mimi naona mwigulu.pekeake ndio.kijana mwenye kaliba ya uongozi.maana kama aliwahi kufukuzwa barababani lakini hakuwahi kumtukana mwendazake.
Na.mwisho mwenda zake kamuapisha tena nyumbani kwake.
Ingawa kwa kipindi hiki ni kama anajisahau vilee.
Ila nape tangu kipindi yupi mwenezi hajawahi kua mturivu kiuongozi.
Kukulupuka,kulopoka ndio anachokiweza tu.kwa bahat wakati ule alikua na kinana .ingekua katibu mwingine nape angehalibu sana.
 
Huu upumbavu utaligarimu taifasikumoja, sasaivi babazao wanaishia ishia kizazi hiki hakita vumilia ujinga wa kupeana uongozi kama mandazi ndugu kwa ndugu mambo ya hovyo sana. Tupo zaidi ya mill 60/ yani silazima mtoto wa kiongozi kuwa kiongozi.
Inaboa sana yani na ndio chanzo cha matatizo na kulindana lindana huko serikalini! Hii biashara ishatugharimu sana kama taifa na bado tunaendelea kuumia tu.

Ila mwisho wa tatizo ni katiba mpya ku state hicho kipengele.
 
Yes, katiba mpya itamaliza huu mpango, na ufisadi utapungua maana ndio mizizi yake ilipo.
 
Niseme ukweli nape nnauye ni kiongozi, tangia akiwa na uongozi chamani, akawa waziri na mbunge nasikia watu wakimkandia sana lakini nape ninatamani kumuona tena katika uongozi wa juu.

Nape anafaa kabisa hata kuwa rais wa nchi hii, kapita mikononi mwa viongozi wengi mimi sijawahi kusikia Nape ana kashfa yoyote kibinafsi kama ufisadi, au rushwa namwamini Sana, hapa Kati Kati alishindwa kuendana na mfumo wa siasa wa mwendazake, hata ningekuwa mm ningeshindwa

Wakamuona mbaya na kumbe mfumo wa mchezo umebadilika kocha anataka kuabudiwa nape kashindwa katolewa mchezoni Yuko benchi, lakini bado ametulia kimya nakumbuka nape na kinana walivyoipigania CCM, wakati huo hali ni mbaya Lowasa anataka kuchukua nchi,nape alizunguka nchi nzima. Nape alinusurika hata kifo, akajijengea maadui wengi kwa kukipigania chama.

Niseme ukweli Nape ni shujaa anaeishi kama roboti, wamemng'oa meno, na kujaribu kumpa tuhuma mbalimbali kwa kumuita msaliti mim nasema wao ndio wamemsaliti nape, bado nikijana najua mungu atamwinua Tena, akina Mwigulu, Jafo, na wengine wote walikuwa majimboni mwao wakati nape akizunguka nchi nzima.

Kosa kubwa la Nape ni kumtukana lowasa, hilo namsihi Sana aende akamuombe radhi
Mfanye awe mkuu wa ukoo wenu, hana jipya he is as looser as you
 
Mheshimiwa N.N umejipigia pande kali sana, sema nini tumestukaaa!
 
Umeongea fact mkuu,

Samia ampe uwaziri Nape akitaka atufurahishe sisi watetezi wake na wananchi kwa ujumla,
Nape Ni kiongozi makini sana
Ampe michezo ili atuondolee akina kasongo.

TFF limekuwa kichaka cha wapigaji
 
Back
Top Bottom