Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niseme ukweli nape nnauye ni kiongozi, tangia akiwa na uongozi chamani, akawa waziri na mbunge nasikia watu wakimkandia sana lakini nape ninatamani kumuona tena katika uongozi wa juu.
Nape anafaa kabisa hata kuwa rais wa nchi hii, kapita mikononi mwa viongozi wengi mimi sijawahi kusikia Nape ana kashfa yoyote kibinafsi kama ufisadi, au rushwa namwamini Sana, hapa Kati Kati alishindwa kuendana na mfumo wa siasa wa mwendazake, hata ningekuwa mm ningeshindwa
Wakamuona mbaya na kumbe mfumo wa mchezo umebadilika kocha anataka kuabudiwa nape kashindwa katolewa mchezoni Yuko benchi, lakini bado ametulia kimya nakumbuka nape na kinana walivyoipigania CCM, wakati huo hali ni mbaya Lowasa anataka kuchukua nchi,nape alizunguka nchi nzima. Nape alinusurika hata kifo, akajijengea maadui wengi kwa kukipigania chama.
Niseme ukweli Nape ni shujaa anaeishi kama roboti, wamemng'oa meno, na kujaribu kumpa tuhuma mbalimbali kwa kumuita msaliti mim nasema wao ndio wamemsaliti nape, bado nikijana najua mungu atamwinua Tena, akina Mwigulu, Jafo, na wengine wote walikuwa majimboni mwao wakati nape akizunguka nchi nzima.
Kosa kubwa la Nape ni kumtukana lowasa, hilo namsihi Sana aende akamuombe radhi
Viongozi wanaandaliwa hawazukiSawa bwana Nauye ila nikukumbushe tu hii nchi sio ya kifalme! Na tutaomba sana hiko kipengele kizingatiwe kwenye katiba mpya!
Maswala sijui kwa kuwa babaake flani alikipigania chama ndio mwanae apewe uwaziri ni mambo ya kichoko. All the influential positions wawekwe watu wapya ambao hawana affiliates na wastaafu kwa namna yeyote ile.
Hii biashara ya Karume raisi na mwanae raisi, Mwinyi raisi basi na Mwanae awe raisi ni mambo ya hovyo! Kama ni kuwafadhili wapeni hata ubalozi huko nje ila sio kujazana kwenye cabinet ya mawaziri au huku kwenye ukurugenzi na hata uraisi!
Anakurupuka kwenye niniMimi ninachojua Nape ni mkurupukaji.
Hata wakat anazunguuka na kinana.
Mzee kinana alikua na.kazi ya kumtuliza nape.
Mana Nape.akitukana kinana anamwambia aache.matusi.
Hivyo,mtu mkulupukazi uongozi sio sehemu yake.
Kama huoni ukulupukaji wake basi we endelea kumuona yupo sawa.Anakurupuka kwenye nini
Tuanzie hapo
Viongozi wanaandaliwa hawazuki
Mazara ya kuzuka ndio hayo mnaona akina polepole kwenye media
Kiongozi ni lazima apikwe polepole amepikwa wapiUjinga kweli yani! Uongozi wanapeana kimichongo 😂
Ameokotwa jalalaniKiongozi ni lazima apikwe polepole amepikwa wapi