Natamani kumuuliza mume wa mchepuko wangu alitumia mbinu gani kufanya mke wake atulie ili nami mke wangu atulie

Natamani kumuuliza mume wa mchepuko wangu alitumia mbinu gani kufanya mke wake atulie ili nami mke wangu atulie

Habari wa Jf natumai ni wazima wa afya tele.poleni wagonjwa .

Miaka fulani nilikuwa naishi ktk mji fulani ,sasa cku moja nilikwenda kumtembelea rafiki yangu ambae alikuwa anamiliki duka la kuuza cm. Nilipofika pale wkt tuaendelea na mazungumzo akaja mdada fulani hivi yule mdada alikuwa anafahamiana na huju jamaa yangu na shida ya yule mdada ilikuwa


Huyu rafiki yako ataendelea kutafuta mwanamke sahihi hadi anaingia kaburini maana hajui hata anachokitaka
 
Mtoa mada,
Heading ya Uzi wako imenitoa knock out aisee[emoji2]View attachment 2136713

Sent using Jamii Forums mobile app
Anamaanisha kuwa
Alikuwa na mchepuko tuseme ni Mama P ambao umeolewa baada ya mda mchepuko ambao ni Mama P ukarudisha majeshi kwa mume wake

Wakaachana

Sasa hivi imemrudia mke wake na mtoa maada mke anachepuka

Kifupi mtoa maada anatafuta mbinu gani mme wa yule mchepuko ambao ni Mama P alitumia mpaka mama P akatulia

Na yeye autumie kwa mke wake
 
What goes around comes around... ulitumia ushawishi kutembea na mke wa mtu utegemee mabaya zaidi ktk mahusiano yako na kusumbuliwa na kila mwanamke utakayemwoa
 
Shida hapo ni rafiki yako hajaplay part yake vema, sikia mzee mwanamke mzuri inabidi awe na tabia ya maji.. Moja wapo ya sifa ya maji hayana shape, ila wewe ndio unayapa shape, wewe ndio container, ukitaka yawe pembe3 wewe, yawe round wewe tu. Sasa ukichukua mwanamke tayari kawa jiwe unategemea nini..

Hatua ya kwanza tunapofeli kwenye ndoa yetu ni tunapofeli kuchagua wenzawetu, kisha tunapofeli kuwa wanaume ndani ya nyumba hivi vitu tunavichukulia poa ila vinatuchoma mnoo.
 
Back
Top Bottom