Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
- Thread starter
-
- #281
Real????
Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.
watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa
hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,
sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....
kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa
next to real.....
Ha ha ha...I can see tht u have it ur heart, Hope u gonna find the Sweetest one.
Bora umekubali kuwa hujajibu hata moja!!!!!!!!!!!
Heaven on earth: kuanzia jana nimejiridhisha kwamba kuna mtu ame-hack account yako.Sio wewe.From Riz jana to Mzungu leo? Sio wewe aiseee ninayejua u mvaa shela mtarajiwa...!Hahaaa surely,I cant wait for that moment aisee
Descartes huyu siyo heaven on earth,ameacha compyuta yake hapa ndio mimi natumiaHeaven on earth: kuanzia jana nimejiridhisha kwamba kuna mtu ame-hack account yako.Sio wewe.From Riz jana to Mzungu leo? Sio wewe aiseee ninayejua u mvaa shela mtarajiwa...!
Ulishawahi "kutobolewa spika?" Manake hawa watu hawajali akitaka koboga shurti umpatie ili upalilie penzi na kama ana Mbwa nae iko siku utaambiwa umgawie. Sikushauri baki na hizi ..........boo za kata zinakufaa zaidi
Ruttashobolwa za kwangu nazitafuta na za huyo mzungu pia nazihitaji!!!!!!!"ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha" no wonder watu wanaendelea kuwa watumwa kwa mentality kama hizi. hivi hizi pesa ninyi hamuwezi kuzitafuta?.
Heaven on earth😀aaa...sikutarajia kucheka.Nmechekaaa!Hapo umeshamsingizia shetani na mambo yake yote.Hapa leo sio yule mtarajiwa ila mtu anatumia tu kompyuta yake?Mimi hoiiiiii.....Descartes huyu siyo heaven on earth,ameacha compyuta yake hapa ndio mimi natumia
ila kwa Ritz alikuwa yeye,