Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Basi mi jana kuna Post niliona ya Heaven on Earth akijibishana na jamaa flani nikajua tayari kitu hicho, hadi nikaahirisha nikijua ashachukuliwa, kumbe sasa hivi tena anatafata mzungu? Naona bado nafasi yangu haipo.. Em ngoja nisubiri roundnijayo nione nini jipya! Siku nikija bongo ntatafta nione umefikia wapi! Au labda kama utakua ushapelekwa kwingine na huyo Mzungu wa JF sijui..
 

hahaaa hata nikiolewa na mzungu wale watabaki kuwa jamaa zangu tu.....

ila kwa sasa nahitaji mzungu,siku ukija bongo sa hivi uko wapi hakuna wazungu huko!!!!!
 
Lakini Heaven on earth humu JF wapo wazungu wa roho kibao tu kasoro ngozi. Au unafagalia weupe? Weupe ungekua mali ubuyu usingepakwa rangi
NB: usibabaike na rangi, tamu ya chai sukari...!!!!

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 


Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Inaonekana una njaa ya kupendwa
Huwezi kumpata wa kukupenda
Jipende mwenyewe
Hiyo ndio dawa!!!!!!!

ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.

Tatizo lingine hili hapa
Hela??
Kuna mahali wa aina hii wanapatikana kwa wingi sana
Unaitwa sijui mataa gani ule........nimeusahau ngoja nikiukumbuka nitarudi na majibu!!!!!

watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa

hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,

sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....

Umesema unataka uolewe hivyo hivyo halafu unataka ukweli ili ufanyeje?

kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa


N yule jamaa aliyekuzidi umri umeshampiga kibuti?
 
ah we naweee!
una maswali mengiiiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…