Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,687
muke.gif
muke.gif

Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.

watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa

hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,

sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....

kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa
muke.gif
 
Last edited by a moderator:

Hehe, Rufiji wapo kibao pale. Ila sikushauri, wazungu si watu wazuri sana halaf wana michezo ya ajabu ajabu!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mzungu jirani yangu naye alikuwa anatafuta mchumba mbongo sasa sijui kama atakufaa.

Pesa zipo zakutosha naamini kwa huyo mzungu shida zako zote na njaa zikuwa zimefikia kikomo.
Ila huyo mzungu ni mtu mzima a.k.a.mbabu sijui kama atakufaa!
 
muke.gif
muke.gif

Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.

watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa

hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,

sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....

kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa
muke.gif

dadaangu katika siku ambazo umechemka kimawazo ni leo, tumeona akina dada wengi walio olewa na wazungu wameambulia maumivu tu, askudanganye mtu et kaokewa na mzungu na kwenda kuishi ulaya, mateso na shida wanazo pata ni siri yao,,,
nje ya huko ulaya, mifano ipo hapa hapa kwetu,
 
Bora kula unachokijua na kushiba kuliko kushiba unachojaribu.......Muke ya Muzungu na huo ubaridi utauweza????? na pia kwa ngozi yako lazima ukutane na Wassira wa kizungu.
 
muke.gif
muke.gif

Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.

watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa

hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,

sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....

kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa
muke.gif

Afadhali mimi muzungu zali la mentali limenidondokea!!
 
Last edited by a moderator:
dadaangu katika siku ambazo umechemka kimawazo ni leo, tumeona akina dada wengi walio olewa na wazungu wameambulia maumivu tu, askudanganye mtu et kaokewa na mzungu na kwenda kuishi ulaya, mateso na shida wanazo pata ni siri yao,,,
nje ya huko ulaya, mifano ipo hapa hapa kwetu,

mifano gani ndio unipe!!!mbona dada angu Natalia anakula bata na mzungu wake

na mapenzi yao ni kama yameanza jana tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom