Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Umesema kwenye post yako #198 kwamba unatumia dabo line NETWORK... Nakushutumu kwa sababu huko nyumba hukuwa hivyo, umebadirika sana... SIJUI UKOJE...!!!

Kumbe huko nyumba,ingekuwa huko nyuma ningepata cha kujitetea.....,

Sikusema natumia nyie ndo mnasema mzungu wangu anapenda double line
 
Unaweza kuyavumilia hayo yote si mbay, ila wengi wanajuta na wanaona aibu kutoka matokeo yake wanarudi kwa wabantu kubanjuliwa na kuendelea na maisha na wazungu wenzao

ndio maana hata mimi nikiolewa na mzungu Mbantu wangu siwezi kumuacha,safari za Bongo kila mwisho wa mwezi

sababu;NAPELEKA MZIGO TZ,
 
Okay kubwa umpate mwenye vile unavyotaka!!maana nao ni kama waafrika kasoro rangi tu

It's interesting that something so common and natural to me can be such a mystery to others
sijui kwanini
 
Anaendaga mbona sana tu ukiona kanogewa tz mpeleke kwa babu awe anatamani hm mara kwa mara

babu gani,maana hata yule wa loliondo ni babu....,

ila kama anaendaga hamna shida,ila nataka kwenda kuishi Ulaya kabisaa
 
Sheesh heaven on earth, u posted this on my behalf?

Me hata hela sitaki, I just want the skin the hair the smell 'they so smell different lol) and the accent.....
.:love::love:
 
Back
Top Bottom