Natamani kuolewa

Aiiseeee nimekupenda buuuure kabisa kumbe wewe ni kichwa eeeh! Hujawahi comment pumba unatema madini weeee acha tu nikumezee mate. Ujumbe huu umfikie sakayo popote alipo
 
 
Watakuja wenye vigezo...Maana vigezo na masharti vimezingatiwa
 
35 Degree+ Hajaoa, ni wachache sana na hata hivyo utakuta ana mpenzi la sivyo ni Padre
 
Ila Watu kutafutana wenye hadhi zinazofanana wakati mwingine huwa na changamoto na kupenda usipopataka
 
Wewe mwenyewe una elimu gani tuanzie hapo kwanza.
 
Hivi nyie mnaotafutaga wapenzi humu hivi mko serious kweli????

Ingawa najua hata wenye degree wanatofautiana akili, ila hivi ni kweli kwa mwenye akili atakubali kubeba mtu humu mkuku mkuku tu eti ukawe mke wake?

Sifikirii kama inawezekana, sana sana mtu atakudanganya ana vigezo vyote atakupiga swaga mpaka atahakikisha amefaidi chungwa lako kisha anajisepea zake.

Kazi kweli kweli! [emoji16][emoji16]
 
Aya wenye degree zenu.. Nasikia nyinyi ndo mnakuwaga na mapenzi ya dhati (35+) lkn ni kipi kilichowakimbiza hao wanaume wenzetu.. Ambacho na sisi hatutakiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…