Natamani kuolewa

Tusio soma Kweli mnatuoneaa
 
Acha ubabaishaji wanawake wa JF. Mbona tuki PM neseji haziendi kwa nini mnazifunga?
 
Tuliokimbia shule kisa umande mnatubagua
Sanaaaaa
Kila uzi msomi wa degree
Asee tupeni nafas
Tusiosoma banah
35+ msomi halafu hana mke sijuii lakini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nipo single
Nina degree ya finance
33 years old
Ila sitaki kioa mama
Nataka mke niliyemzidi kuanzia 10 years.
Nimekosa sifa kwako
 
Wanawake badilikeni hakuna uhusiano kati ya elimu na ndoa cha msingi ni mtu anayejielewa na kuelewa nini maana ya mke hayo mambo mengine ni ziada, unaweza kumpata huyo mwenye degree unayemtaka na asijue maana ya mke
 
Wanawake badilikeni hakuna uhusiano kati ya elimu na ndoa cha msingi ni mtu anayejielewa na kuelewa nini maana ya mke hayo mambo mengine ni ziada, unaweza kumpata huyo mwenye degree unayemtaka na asijue maana ya mke
Mkuu ukiona mwanamke anataka mwanaume mwenye kipato au elimu ujue anatafuta ajira...
 
Degreeee inatafutwa jamani, changamkieni , mi upendo wa kweli ninao ila degree sina
 
njoo pm tuongee vigezo na mashart huzingatiwa
 
Wee sema unataka mtu wa kukudinya kila ukihitaji ila sio ndoa kwa masharti hayo isitoshe uliikimbia ndoa tena na mtoto juu
 
Kwa nn mnapenda sana kusema awe mcha Mungu?? Mnadhani kumwona mtu ana mcha Mungu ndo kuwa na Mapenzi ya dhati kwako. Binafsi nimetokea kuamini kuwa % kubwa ya wanaosali ndo watenda dhambi kabisaa.
 
5GB
 
Kwa ndoa yako unayo htaji kwa vgezo vya degree na miaka ujiandae kupokea divorce ya 2. Kwa lugha nyepesi humu kitaa MTU kama wewe anaitwa ~msimbe~ sasa leo hii msimbe anahtaji degree holder...! Sema kweli hutaki kuolewa, ila kama unahitaji please mpokee huyo kapuku anae kusumbua kila siku ambae pengne hana hata standard..... ya elimu ila anajua kukupenda tu na hawazi kukudivorce na hajui kuwa kitu kama hcho kipo ila anajua kuwa kifo tuu ndo kiwatenge.

True love kwanza dada, degree yaachie madarasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…