Natamani kuolewa

Mmmmm Yeye ndo alikuwa sababu ya break up yetu. M innocent girl MTU atakayenioa hawezi kuregret kwa kweli, because I know myself vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una umri gn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mapenzi, Upendo wa dhati huwa hauchagui elimu, kazi, sura wala umri.. Unajikuta tuu ushapenda. Lakini kwa upande wako unachagua wa hadhi yako na hiyo ndo huwafanya wengi kukosa wenzi..

Tulia mwambie Mungu akuletee wako, huyoo wa kuchagua hivyo waweza mpata ila akawa anacheza tuu na hisia zako, akichoka ataondoka..... Kuwa makini
 
MAMBO! Umeshapata?
 
Sidhani kama degree ina cha kuongeza au kupunguza ktk mapenzi
1.Achana na hayo mambo ya degree kupata mwanaume 35+ Graduate unatafuta matatizo mengine
2.Wakati unatafuta mwingine jiulize/waulize wengine where did you mess up with the previous marriage.
Don't let 100% of the burden fall to your ex
You must have a contribution ya kuanguka kwa ndoa yenu na hii siyo katika masuala ya ndoa hata ktk mambo mengine ya maisha tusipende kusukuma lawama kwa mahasimu zetu 100% kwa kushindwa kwetu
3.Plan njia tofauti jinsi ya kulea mtoto wako.Kumbuka siyo kila atakayekupenda atapenda na mtoto wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka picha tuthaminishe
Weka mawasiliano turahisishe
Ushauri mapenzi hayana umri wala msomi wa degree wewe tafuta mchapakazi ila sio msomi na mwenye umri huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaweka vigezo vingine kama dini n.k ukipata tupe feedback
Binafsi nataka kuwa wamwisho maana kigezo kimojawapo kime-miss

Cc: Tanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…