Natamani kuolewa

Natamani kuolewa

Single mother mna matatizo mengi sana...watu wakisema humu mnawajia juu!!
Nasema hivi kilichomkimbiza mume wako, lazima kitamtafuna na huyu unayemtafuta saizi!
Ushauri tafuta bodaboda umlee, achana na habari za degree..tushashtuka hatukamatiki kizembe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmm Yeye ndo alikuwa sababu ya break up yetu. M innocent girl MTU atakayenioa hawezi kuregret kwa kweli, because I know myself vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za wote humu ndani.
Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa Mara ya kwanza nilikutanq na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.
Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vzr tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.
Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namba ya kupenda.
Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una umri gn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mapenzi, Upendo wa dhati huwa hauchagui elimu, kazi, sura wala umri.. Unajikuta tuu ushapenda. Lakini kwa upande wako unachagua wa hadhi yako na hiyo ndo huwafanya wengi kukosa wenzi..

Tulia mwambie Mungu akuletee wako, huyoo wa kuchagua hivyo waweza mpata ila akawa anacheza tuu na hisia zako, akichoka ataondoka..... Kuwa makini
 
Habari za wote humu ndani.
Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa Mara ya kwanza nilikutanq na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.
Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vzr tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.
Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namba ya kupenda.
Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
MAMBO! Umeshapata?
 
Sidhani kama degree ina cha kuongeza au kupunguza ktk mapenzi
1.Achana na hayo mambo ya degree kupata mwanaume 35+ Graduate unatafuta matatizo mengine
2.Wakati unatafuta mwingine jiulize/waulize wengine where did you mess up with the previous marriage.
Don't let 100% of the burden fall to your ex
You must have a contribution ya kuanguka kwa ndoa yenu na hii siyo katika masuala ya ndoa hata ktk mambo mengine ya maisha tusipende kusukuma lawama kwa mahasimu zetu 100% kwa kushindwa kwetu
3.Plan njia tofauti jinsi ya kulea mtoto wako.Kumbuka siyo kila atakayekupenda atapenda na mtoto wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaweka vigezo vingine kama dini n.k ukipata tupe feedback
Binafsi nataka kuwa wamwisho maana kigezo kimojawapo kime-miss

Cc: Tanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom