Natamani kuolewa

Nilishang'atwa na nyoka, naogopa kuingia kichwa kichwa ndo maana nimeweka vigezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAMAHANI NAOMBA KUJUA BABA YAKO NA MAMA YAKO VIWANGO VYAO VYA ELIMU JE WOTE WANA DEGREE AU WALIPENDANA TU
 
Anae weza fanya Mapenzi kufa au kupona ni Mwanamke nasio mwanaume so kama hayo mapenzi ya x wako umeya zika nailihali mnamtoto vp kwa mimi wakuja leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri!
Masuala ya degree, umri n.k Achana nayo! Angalia mwanaume anaejielewa na anajua kutafuta pesa. Mimi nimesoma chuo na jamaa anafanya kazi vodacom na kipindi kamaliza form 6 na kufanya kazi kwa Muda kadhaa vodacom alimuoa mkewe mwenye masters na akiwa assistant lecture UDSM na baada ya hapo mkewe kaenda kusoma PHD Kawa Dr. na anafanya kazi hapo UDSM. Afu mmewake ndo aliamua ajiendeleze kusoma degree na kafundishwa na mkewe class na kamaliza maisha yanaendelea, jamaa anafanya kazi vodacom wakati mkewe ni Dr. Udsm.
Kwa hiyo habari ya vigezo visivyo na maana achana navyo we angalia mwanaume anaejitambua.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] haijawahi tokea mwanamke kusema anataka mkulima au muuza nyanya, that's y unadate na wrong person hebu mademu badilikeni sio kisa elimu ndiyo usiolewe hata na mwanaume underground utasubiri sana waje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usihofu,muombe Mungu utapata mama.usitishwe tishwe na maneno ya binadamu humu jf.be strong
 
Ni kweli, inaonesha yeye mwenyewe hajitambui wala hajui anataka nn ktk ndoa. Kaweka vigezo ambavyo havina mashiko kabisa na kimsingi vigezo hivyo havina msaada wowote ktk ustawi wa ndoa. Probably huyu dada ndio alikuwa wrong person kwa huyo mume wa kwanza. Akakae na ajipange upya.

Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
 
Tanzania ya viwanda MITUMBA haivaliki sisi wazee tunaka kitu kipya. Punguzq miaka vijana ndio wanataka kulelewa


Bwana ataongoza safari
 
Si kwamba wote wanakuwa na matatizo,kuna sababu nyingi mojawapo ni tamaa ya pesa. Kuna madam mmoja alikuwa anapigwa na jamaa aliyeoa kisa pesa akawa amempachika na mimba kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…