Yaan jins unavyo ongea as if yy ndiye mkosaji.Single mother mna matatizo mengi sana...watu wakisema humu mnawajia juu!!
Nasema hivi kilichomkimbiza mume wako, lazima kitamtafuna na huyu unayemtafuta saizi!
Ushauri tafuta bodaboda umlee, achana na habari za degree..tushashtuka hatukamatiki kizembe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una chura tukutane pm nimekidhi vigezo vyakoNilishang'atwa na nyoka, naogopa kuingia kichwa kichwa ndo maana nimeweka vigezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mateso ya ndani ya ndoa hayavumilikiKwa nini usirudi kwa mumeo?
Hali yenu ya ushindani ndio inayowatesa sana kwa sasa, nahisi hivyo!!
Hamtaki kusamehe na kujishusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu huwa wanaubeza " Wokovu" ni kitu cha muhimu sana.Kuna mateso ya ndani ya ndoa hayavumiliki
Nimeona ndoa zinatesana kwasababu za kishirikina za kutoa makafara tena ya watu.
Dada kaolewa hakuwa anajua ya ndani alipojifungua tu mtt siku ya 7 kaenda Hosp kutolewa nyuzi, mama mkwe akachukua mtt wake machanga wa siku 7 akaenda naye kwake. Dada anarudi hakuti mtt na anamuambia mume mume anasema ni kawaida ya mila zetu. Akahoji mbona hukuniambia akaambiwa utayajua baadae.
Mama akanyanyuka kumfwata mtt huko kwa mkwe. Akakuta mtt analia balaa. Anamuuliza Dada wa kazi mbona Sasa humbebi anasema Bibi hamtaki
Toka siku hiyo mtt akapata ugonjwa akawa mlemavu wa Akali.
Dada akaanza ukisoma namba mara Bibi anakujaga home anaingia hadi bdrum kwake, anatandika kitanda alimradi fujo tuu huku mume yuko pamoja na mama. Kumbe maskini wanatafuta njama za kumtoa mtt kafara. Siku wifi yake akamwambia live.
Ikabidi huyu Dada aondoke na mwanae kwenda kujificha. Ndio baadae babu mtu akatafuta njia akawapata walioko mafichon wakamnyang'anya mama mtt. Mamma akaenda kanisan, babu akatukana kanisa vby sana. Huku Hali ya mtt unazidi kuwa mbaya.
Mama akatoka akaenda mahakaman, mahakaman akapewe divorce babu na Bibi wakaja wakaweka pingamizi eti wabaki na mtt kwan ni mlemavu wa akili so mama hataweza kumuhudumia. Kesi mpaka Sasa inaendelea.
Je katika Hali kama hii utasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana nakataa. Why making them slaves of life?Hapa ndipo wanawake wengi mnapokosea.mwenye kuweka vigezo vya aina ya mtu wakua naye ni mwanaume maana yeye ndo muoaji,mwanamke wewe kazi yako nikuwindwa kwaiyo unachotakiwa nikujiweka kwenye mazingira bora yakua na sifa zakumfanya mwindaji bora akuone nakukuwinda.Unapoweka vigezo vyako wakat hukidhi haja ya vigezo vya wanaume nakuhakikishia hutakaa umpate uyo unayemtaka.kwanza ayo mambo ya degree ni upuuzi mtupu wewe sema upate mwanaume atakayakupenda kwa dhati ayo mengine mtayaweka uko mbele pamoja.
Hizi ndoa hizi Padua kichwa hata Mimi simuweziLaiti ungemfuatilia posts zake za nyuma nadhani usingesema hayo...mi mshamba wa kuweka link, hii ni post yake huko nyuma...
"Tanya, post: Habari wanajamvi,
Mwenzenu nimekaa kwenye ndoa kwa miaka minne na nina mtoto mmoja lakini kila siku tendo nalifanya sioni reha yoyote.
Siku moja nilijaribu kutoka nje ya ndoa nikapata raha ambayo sijawahi kuipata toka nizaliwe sasa leo tena tumekutana na mume wangu anaingia tu kabla sijaanza kufeel chochote anakuwa ameshamaliza na analala usingizi kabisaaa!!!
Mimi nabaki nahangaika kuhesabu boriti.
Kwa kuwa kumueleza nimeshindwa nimeamua kumtumia sms hii; "
Unakera sana jamaa yangu ,kamakazi inakushinda si uwaachie wenzio kuliko kutesana usiku kucha kulala macho?
We mwanaume gani usiyejua kumridhisha mke wako.
Kwahiyo kila siku utakuwaga learner tu!!! huo ni utahira kama hujui, mimi nimechoka kuachwa njiapanda kila siku na sio mjinga wa kuachwa njiapanda, labda utafute mjinga mwenzio ndo uwe unamuacha njiapanda.
Kazi imekushinda jitoe kwenye game waingie wenye uwezo wao.
Siwezi kuvumilia kero za aina hiyo maana kero ulizonazo zinanitosha sikupaswa niongezewe na kero za kwenye tendo la ndoa.
Mjinga wewe hebu nikatafute wenye uwezo wa kunirishisha wewe umeshashindwa miaka minne yote kapa???"
Je, Niko sahihi kumtumia sms hii?
sijui atabadilika?
Sijui tatizo ni nini?
by mama kado
Mnisaidieni?"
No tuwe fair sio wanawake wote na si wanaume wote binafsi huyu simuwezi mwanamke anayekwandikia msg ya hivyo hafai si bora angemweleza kwa upendo na upole??