Natamani kuolewa

SAMAHANI NAOMBA KUJUA BABA YAKO NA MAMA YAKO VIWANGO VYAO VYA ELIMU JE WOTE WANA DEGREE AU WALIPENDANA TU
Mambo Eddy..
Ni naomba kumsaidia kidogo hapo kwenye Degree.
IPO hivi kwanza naomba tukubaliane Elimu in M Transform MTU.Anakuwa Na Capability Na knowledge kubwa ya kutathmini Na kuchambua mambo
Angalieni ambao wameishia la 6 B Ni majanga sana.Yeye anawaza kuibiwa mwenzi hata akienda msibani.
Thinking capacity yake mdogo.So walau waliosomasoma hata kufika form Four or Six, Diploma au kuendelea.Ni rahisi Kucope nao.
Angalizo Kuna wachache wasiosoma( Wana Elimu kidogo chini ya tajwa hapo) wana busara sana Na huwezi amini na hata wakifanikiwa huajiri wasomi kuwassidia( Education is the best in the World)but most of them Ni Majanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno kuntu.
 
Wanaume wenye Mawazo hasi kama nyie hamkosekaniki,hujui kilimkumba nini kwenye mahusiano yake yaliyopita lakini umeshakuja na hitimisho kua yeye (mwanamke) ndie mwenye matatizo na nyie wanaume ni malaika,wapo wanaume wa kweli wanaojiamini watampokea,watamuhifadhi na kumtunza mpaka mtalaka wake ajutie na sio lazima uwe wewe kijana wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana. Unajua ktk maisha ya mapenzi ukitendwa unapata akili ya kujua mema na mabaya.
Ila nikuambie tu. Kigezo cha umri hakimfanyi mtu kuwa na true love. Wengine wameolewa na visengereti boy lkn wanaishi vizuri tu.
Kila la kheri ktk kutafuta
ILA HUWA NAUMIA SANA NIKIONA WATU WAMEACHA HASA WALIOPATA MTOTO/ WATOTO
Mungu akupiganie
 
Dada yangu Degree haifungi ndoa...
Pili kama unataka kuolewa usichague ni mwanaume wa aina gani akuoe..hivyo vigezo mnavyo weka wanawake ni moja ya sababu inayo wafanya mkose wanaume wa kuwaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka wazi kwamba unataka mwanaume atakaekuridhisha kutandani..so anakuja msomi kutandani hamna kutu unamwacha tena kama yule wakwanza .. .pia ww ukoje rangi shep navingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe tayari ni used halaf unavigezo zaidi ya binti ambaye anachuchu saa sita utabaki hivyo hivyo na kutamani kwako[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13]
Na wanawake wa siku hizi ukijua kuingia jamii forum mna shiiida sana kwenye ndoa zenu maana kiburi sana utafikie ww ndo mwanamume.
Mimi nakushauri kama kwel unahitaji ondoa vigezo vyote hapo unaweza ukapata mume ukaa naye hata kwa mwezi hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yangu Degree haifungi ndoa...
Pili kama unataka kuolewa usichague ni mwanaume wa aina gani akuoe..hivyo vigezo mnavyo weka wanawake ni moja ya sababu inayo wafanya mkose wanaume wa kuwaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wanawake wengi waliosoma hutaka mwanaume aliyesoma ndiyo maana wengi huishia njian kweny mahusiano tofauti na ss.
Ss wanaume hata ungekuwa na masters likija suala la kuoa hata wa darasa la 7 unaoa ili mradi tu akizi vigezo
 
Njoo pm, hakika mungu kakupa mume, unaonyesha ulisali kabla ya kupost hii thread, hongera, karibu
 
Ameni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo hii ndio kusema samaki mmoja akioza wameoza wote!? Hii si sawa kuingia Jamii Forum si kigezo kua wote tuna viburi kwa wenza wetu,hapana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo unataka mshipa, kila siku iwe inashinda ndani
 
Kwanini awe na degree....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…