Natamani kuolewa

kwenye umri punguzapunguza kidogo angalau miaka 16 na kuendelea na elim ukipunguza angalau darasa la saba utanitaarifu sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe unataka kuolewa na degree au mwanaume?? Mimi nina diploma ila shughuli yangu nmuwekezaji sasa mama ningekuoa maana my wife aliondoka niko single ila wewe unataka degree ngoja wanakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
soon wa degree wakiwa wengi mtaanza kusema mwenye GPA 3.5+ na experience zaid ya miaka mitatu
 
Hebu njoo nikuoe hapa mara moja , maana me mwenyewe natamani kuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi nimeogopa hii mambo ya makafara na takataka zake ni kizungumkuti.
 
mimi nina miaka 34 na nina degree ila sina kazi apo vipi nakufaa?
 
Ni vyema nawe ungetubainishia Sifa zako,una elimu gani na una umri gan na hata shughuli zako pia kama hutojali,ili mtu anapofanya maamuzi ya kukufuata ajue anaenda kwa mtu Wa aina ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vigezo vingine vitakukosesha mume, ungetafuta tu mwenye elimu yake, maisha mazuri na mwenye kumtambua Mungu na mwenye msimamo.
Hivyo vingine ni vya ziada tu.

Jamii Forums mobile app
 
Kuna mateso ya ndani ya ndoa hayavumiliki

Nimeona ndoa zinatesana kwasababu za kishirikina za kutoa makafara tena ya watu.


Je katika Hali kama hii utasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wadau wengi wameomba aeleze japo kidogo tu lakini anajifanya hajasikia, sasa kama hatujajua tatizo lilikuwa wapi tumshauri vipi?
 
Umeweka vigezo na atakayekidhi ni Lipumba tu pekee
 
amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…