Natamani kuona Rais Samia akinywa juisi Ikulu na Tundu Lissu

Wakubwa wanapokutana kuzungumza kinywaji kinachotumika mara nyingi ni juisy
 
Lissu LAZIMA ale kitanzi ili wengine wajifunze!
Mkuu, ingefaa upewe jukumu la kumtia kitanzi Mh. TAL atakapohukumiwa kifo kwa kunyongwa. Utajenga umaarufu na kuwachia kumbukumbu nzuri sana wanao na wajukuu wako. Jina lako litaandikwa kwenye kitabu cha kumbukumbu ya mashujaa Tz
 
Lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja. Nasema hivi; natamani kuona siku moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani, anakunywa juisi Ikulu na Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ambaye yuko gerezani akishtakiwa kwa Kesi ya Uhaini na Uchochezi.

Hili halitakuwa jambo geni kwa Rais kunywa juisi na wapinzani wake wa Kisiasa. Rais Kikwete enzi za uongozi wake aliwahi kuwaita wapinzani wakakaa meza moja Ikulu, na kunywa juisi mambo yakaenda.

Wanaofuatilia Siasa za Dunia wanajua upinzani uliopo baina ya Urusi na Marekani. Ni upinzani wa miaka nenda rudi. Majuma kadhaa yaliyopita Donald Trump alitoa siku kumi kwa Rais wa Urusi Vladmir Putin kukomesha vita na Ukraine ama la, Urusi ikumbane na vikwazo babu kubwa vya kibiashara baina yake, ndia na China.

Ajabu ni kwamba aliyetoa siku kumi huyo huyo kaomba kukaa meza moja na Putin ili wazungumze na mazungumzo yamefanyika jana huko Alaska kwenye Kambi moja ya Jeshi la Marekani. Wamekula wamekunywa.

Hiyo ndiyo Siasa, huo ndio ukomavu na huo ndio ukubwa.

Ukubwa jalala! Rais Samia, wewe ni Mwanasiasa mzoefu, naamini kwa Imani yako unayo hofu ya Mungu. Tundu Lissu ni mpinzani wako Kisiasa, kama ulivyofuta ya mtangulizi wako, ukawarudisha nyumbani akina Lissu na wenzake, FUTA ujinga wowote waliofanya kwako. mtoe humo alimo sasa.

Kaa naye meza moja mzungumze juu ya namna bora ya kuendesha Siasa hapa nchini kwa maslahi mapana ya nchi na watu wake.

Kila mtu anaweza kupata maono juu ya jambo lolote hata kama siyo Mchungaji au Nabii.
Samia hawezi kukaa meza moja tena na mtu mropokaji, asiye na hekima, mbishi na anayedhani anajua kila kitu kumbe hajui
 
SA100 anavyomhara lissu hiyo juice lazima aiwekee sumu ya panya, lissu asithubutu kuigusa!.
 
Waongee kuhusu nini? Samia anatakiwa kuruhusu uchaguzi huru na haki kwa kuzifanyia kazi reforms zote ili ampishe Lissu Ikulu haraka sana. Hakuna mjadala mwingine hapo, Lissu ndiye Rais wa awamu ya 7.
 
Mkuu, ingefaa upewe jukumu la kumtia kitanzi Mh. TAL atakapohukumiwa kifo kwa kunyongwa. Utajenga umaarufu na kuwachia kumbukumbu nzuri sana wanao na wajukuu wako. Jina lako litaandikwa kwenye kitabu cha kumbukumbu ya mashujaa Tz
Nitafurahi sana nikipewa heshima hiyo!🙏🙏🙏🙏
 
Samia hawezi kukaa meza moja tena na mtu mropokaji, asiye na hekima, mbishi na anayedhani anajua kila kitu kumbe hajui
asıyekuwa na shukran, refer alıchomfanyıa mbowe kwa kumchafua nchı nzıma bıla kuwa na hekıma au kutambua mchango wake katıka uhaı na maısha yake jınsı mbowe alıvyompambanıa, lıjıtu halına shukranı kabısa
 
Tapeli Mbowe amejichafua mwenyewe
 
asıyekuwa na shukran, refer alıchomfanyıa mbowe kwa kumchafua nchı nzıma bıla kuwa na hekıma au kutambua mchango wake katıka uhaı na maısha yake jınsı mbowe alıvyompambanıa, lıjıtu halına shukranı kabısa
Freeman Mbowe ndiyo alishikilia drip la Dextrose alilotundikiwa kwenye ndege kutoka Dodoma kwenda Nairobi
 
Samia hawezi kukaa meza moja tena na mtu mropokaji, asiye na hekima, mbishi na anayedhani anajua kila kitu kumbe hajui
Sema hv, lissu hawezi kaa meza moja na kilazaa...watajadili nn sasa?!
Lissu alisoma special school Illboru Sec wakati huyo mamayenu alipata zero form 4!.
 
Lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja. Nasema hivi; natamani kuona siku moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani, anakunywa juisi Ikulu na Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ambaye yuko gerezani akishtakiwa kwa Kesi ya Uhaini na Uchochezi.

Hili halitakuwa jambo geni kwa Rais kunywa juisi na wapinzani wake wa Kisiasa. Rais Kikwete enzi za uongozi wake aliwahi kuwaita wapinzani wakakaa meza moja Ikulu, na kunywa juisi mambo yakaenda.

Wanaofuatilia Siasa za Dunia wanajua upinzani uliopo baina ya Urusi na Marekani. Ni upinzani wa miaka nenda rudi. Majuma kadhaa yaliyopita Donald Trump alitoa siku kumi kwa Rais wa Urusi Vladmir Putin kukomesha vita na Ukraine ama la, Urusi ikumbane na vikwazo babu kubwa vya kibiashara baina yake, ndia na China.

Ajabu ni kwamba aliyetoa siku kumi huyo huyo kaomba kukaa meza moja na Putin ili wazungumze na mazungumzo yamefanyika jana huko Alaska kwenye Kambi moja ya Jeshi la Marekani. Wamekula wamekunywa.

Hiyo ndiyo Siasa, huo ndio ukomavu na huo ndio ukubwa.

Ukubwa jalala! Rais Samia, wewe ni Mwanasiasa mzoefu, naamini kwa Imani yako unayo hofu ya Mungu. Tundu Lissu ni mpinzani wako Kisiasa, kama ulivyofuta ya mtangulizi wako, ukawarudisha nyumbani akina Lissu na wenzake, FUTA ujinga wowote waliofanya kwako. mtoe humo alimo sasa.

Kaa naye meza moja mzungumze juu ya namna bora ya kuendesha Siasa hapa nchini kwa maslahi mapana ya nchi na watu wake.

Kila mtu anaweza kupata maono juu ya jambo lolote hata kama siyo Mchungaji au Nabii.
Lissu hawezi kufanya huo ujinga. Lissu sio Mboye. Mumpe juisi mumuwekee sumu?!
 
Sema hv, lissu hawezi kaa meza moja na kilazaa...watajadili nn sasa?!
Lissu alisoma special school Illboru Sec wakati huyo mamayenu alipata zero form 4!.
Kusoma Ilboru ndiyo unaona dili? Kwanza acha kudanganya watu mambo ya special schools yalianza kwenye 2000 ambapo tayari Tundu alikwisha pita Ilboru mwishoni mwa 1980s
 
Comment imekuuma😁Samia alipata sifuri Ata yeye alisema,so Hana hadhi ya kukaa meza Moja na Lissu
 
Back
Top Bottom