Natamani kupaza sauti kuhusu uonevu huu ila...

Andika barua kupitia kwa mwajiri wako uombe kujitoa kwenye hicho chama, bona watu kibao wanajitoa?
 
Sasa mbona mfano wako uko nje ya mada πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... Na pia mkuu hilo suala la makato haukutakiwa kulipeleka takukuru na nimekuambia kuhusu hao wachina uwapeleke huko sababu najua huko ndio right channel na nina uhakika ndio litakapofikia hata kama utazunguka njia nyingne lazima liishie kwenye vyombo vya dola au wao ndio watatolea taarifa rasmi. Kingine, Mkuu akili zangu hauwezi kuzijua kwa comment mbili nilizoweka kwenye uzi wako... Tusichukuliane poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…