Natamani kupenda tena

Ukinikuta sivutii si utanisema humu wewe hiyo nimekata.
Nisipovutiwa na Mimi wako wawekezaji wengine humu ndani waweza vutiwa. Sikutaka picha kwa ajili yangu tu. Ila ni kwa wana JamiiForum kwa umoja.
 
Nisipovutiwa na Mimi wako wawekezaji wengine humu ndani waweza vutiwa. Sikutaka picha kwa ajili yangu tu. Ila ni kwa wana JamiiForum kwa umoja.
Hahahahahaaa... nimependa umoja wenu mkuu.. ngoja nikuwekee japo nusu
 
jino kwa jino

mnafaa muoane
 
Miracle loading...soon mzigua atanipenda na nishaandaa picha kabisa za kumtumia hapa nipo kwenye photo shop[emoji3] [emoji3]
Eeeh mungu endelea kubariki miujiza hii ipate kutimia/kutendeka..!
Hahahahahaa
 
Nashukuru
 
Kama umejipa kazi ya Mungu hivi!! Lazima aumie hiyo vipi!! Kwani ni dhambi kumpata mtu mwenye sifa unazozitaka hadi umuwekee guarantee ya kuumia?!!!!!!!

How if huyo mwenye sifa anazozitaka ndio match yake maana nae huyu ndio mwenye sifa azitakazo?
ndo mana nikasema akikaa asubiri mpaka aje mtu atakaekua na sifa zote anazozitaka ni upotevu wa muda maana huwezi mjua mtu mpaka uwe nae

hasa kwenye swala la mahusiano huwezi jua sifa za mpenzi bora mpaka uwe nae

kuhusu swala la kuumia hilo hua lipo maana kila apendae ana wivu juu ya mwenza wake

unaweza ukaumia bila hata ya kuachana
 
Usiseme hivyo mkuu unanikatisha tamaa...
hapana mkuu sikukatishi tamaa sema unapokua unatafuta mtu mwenye sifa unazozitaka ni lazima umjue kiundani maana hujaweka vigezo

labda unapenda mwanaume atakaekufurahisha so utamjuaje kama hujaanza nae mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…