Natamani kupenda tena

Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Una mtoto/watoto?

Kama wapo utasota, vijana wengi siku hizi hawataki kuoa wadada wenye watoto.

Wewe ni "eye-catching"?

Kama ndivyo utasubiri pia, vijana wanasita kuchukua wadada wenye mvuto kupitiliza. Kila ukipita wanaangalia mzigo uliobeba. Pia dhana ya kuwa warembo wengi wapo so cheap, wanaringia uzuri wao inawafanya vidume kusita kuoa.

Angalia wasikufanye chombo cha starehe.
 
Kumpata akupendae muombe Mungu sana binadamu Wa Leo wanakasumba.Na mapenzi ya kweli ni destiny ukiachana na tamaa tukiamini kuwa akupendaye lazima umjue na asiye kupenda kwa dhati lazima umjue...Muombe Mungu kingine wanaume hawapo dar tuu
 
Hamia mkoani
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Kukupenda ulivyo si ndio chura yenyewe!
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Mi sipendi mwanake anaetaka utawala juu yangu, kama upo tayari karibu tuseme zana,but upendo ninao tena mkubwa sana kw atakae ridhia sharti langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…