Natamani kupenda tena

mapenzi huanza na kuchipua na kunawiri taratibu sana. tatizo lipo hapo unaposema hua unampenda mtu at first sight. by the way njoo kwangu hutajutia
 
Mapenzi sio kitu kipyaaa, mwanzo wake.ni.zamani...
Mapenz si lelemama sema.weka segere tuchezee wala mapenzi sio pesa kusema ukanunue shati eeeehh
 
Mh sina imani na wewe yawezekana tunamshauri mwanaume mwenzetu hapa na sio mwanamke kama wengi tunavodhani coz wanaume wa dar tangu wamejua kufake id basi imekuwa tabu kweli kweli
 
Naomba tuonane...
 


LOVE IS NOT CREATED NOR PLANNED< IT HAPPENS..........JUST LIKE THE WATER FLOWING DOWN STREAM.
 
bora usikutane naye hata mmoja ili wanaume wa watu wabaki salama wasije wakapata maumivu wakakutwanga risasi na kuishia jela bure. ubaki hivohivo...
 
bora usikutane naye hata mmoja ili wanaume wa watu wabaki salama wasije wakapata maumivu wakakutwanga risasi na kuishia jela bure. ubaki hivohivo...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] . Mkuu kwanini unitie dhambi ya uheart breaker lakin?
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] . Mkuu kwanini unitie dhambi ya uheart breaker lakin?
Mimi mwenyewe sina mke lakini hata ulete maneno yalipakwa rangi kama pundamilia mwanamke nilishadharau najua this time ikitokea mwanamke nikamwoa akacheat ninamnyonga kabisa ili isitokee sitaki kuwa na nasaba na mwanamke bora nife pekee yangu kwa taabu au kwa aibu lakini siyo kuishi na mwanamke.
 
Kwahiyo huduma nyingine inakuaje mkuu?? sababu kazi kunwa ya mke inajulikana.
 
Kunywa maziwa siyo lazima ufuge ng'ombe au buzi unaweza kununua maziwa ukihitaji
Haya katika unywaji wako maziwa usijekutana na yatakayokufurahisha ukaweka tena ndani kuwa makini.
 
m here mamy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…