Natamani kupenda tena

Haya katika unywaji wako maziwa usijekutana na yatakayokufurahisha ukaweka tena ndani kuwa makini.

Haitatokea nimeshaujuajua unafiki wa wanawake haita tokea yaani atajifanya anakupenda ukifanya makosa ukamweka ndani kwa ndoa umefanya makosa makubwa usione ndoa zipo watu hawatoki kwasababu za kimasilahi fulani hivi kila mtu anajua yeye maslahi yepi lakini ukweli hawana amani kila mtu angependa kuwa huru.
 
Hujapata mliependana mkuu, wewe ulimpenda yeye alikuja na maslahi yake. Pole.
 
Endelea kusubiri na uzee kwa mtoto wa kike huanzia miaka 30........ukija kumpata utueleze ila nakuhakikishia utampata ambaye hata hukutegemea tena atakuwa mmbaya wa sura ila mtaalumu kitandani nawe utamuona mzuri sbb ya mahaba atakayokupa
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
hasa ulivyo si ndio na chura wako
 
Endelea kusubiri na uzee kwa mtoto wa kike huanzia miaka 30........ukija kumpata utueleze ila nakuhakikishia utampata ambaye hata hukutegemea tena atakuwa mmbaya wa sura ila mtaalumu kitandani nawe utamuona mzuri sbb ya mahaba atakayokupa
Mi nasubiria tu mkuu nitalivuka daraja nikilifikia, halafu mpaka nilifall in love kwake ujue kwangu mie ndo handsome wa dunia hata wengine wamuone kama Dr. Remmy. Namsubiri kwa hamu huyo mtu aisee..
 
kama ndivyo utampata ila sijui utahakikishaje kuwa hatokutenda ,how will you prove that he will not betray?
 
Hujapata mliependana mkuu, wewe ulimpenda yeye alikuja na maslahi yake. Pole.
Asante. Sasa hivi yupo anaenjoy tu maisha na jamaa wanapendana kama kumbikumbi sasa kanenepa kama mbuyu mimi nimekonda kama mwanajeshi aliyetoka training monduli macho yameingia ndani kama chongo vile...
 
kama ndivyo utampata ila sijui utahakikishaje kuwa hatokutenda ,how will you prove that he will not betray?
Akinisaliti basi ndo maisha mkuu. Moyo wa mtu kichaka, naweza jua ananipenda kumbe anataka kitu tu aondoke. Akija ntampokea na akiondoka pia ntamwambia aache mlango wazi wenzie wengine waje.
 
Asante. Sasa hivi yupo anaenjoy tu maisha na jamaa wanapendana kama kumbikumbi sasa kanenepa kama mbuyu mimi nimekonda kama mwanajeshi aliyetoka training monduli macho yameingia ndani kama chongo vile...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Ndo mapenz hayo mkuu
 
ila huyu binti kama profile yake inavyosomeka ndivyo yuko hivyo na anadai ana chra daah yuko vzr ila hawa wengi wao ni single mothers,sijui huyu
Sifananii na huyo wa kwenye picha mkuu na bahati nzuri zaidi ni single mom.
 
ningekuwa sijajeruhiwa ningeshawishika kukuchukua ila iswezi kuthubutu hata kidogo...
Mi sasa ingeetokea umenipenda afu sijakipenda ungenipiga bomu kabisa maana hata mapenz ya kuigiza yale siyawezi..
 
Mi nasubiria tu mkuu nitalivuka daraja nikilifikia, halafu mpaka nilifall in love kwake ujue kwangu mie ndo handsome wa dunia hata wengine wamuone kama Dr. Remmy. Namsubiri kwa hamu huyo mtu aisee..
Dada.Usipojali.Lets keep in touch.Namaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…