Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Yupo ,jipe muda,Muombe Mungu kwa sana, atamsogeza karibu. Ni suala la muda tuMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.