Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Sifa zako kwanza tukujue usije ukawa unafanana na za sizonje[emoji196] [emoji219] [emoji84]
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Nitahamia Dar, tutakutana.
 
Nilishawahi, alinisaliti yeye.
Siwezi jua ukweli inaweza kuwa umepata shock kiphycologia lakin kama yeye ndo kakusaliti nawe unaroho ya upendo utampata lakin kama wewe ndo ulimsaliti ulicho mfanyia lazima ukipate ndo utatulia keep on hope utampata Nakujiuliza ulichelewa wapi
 
Back
Top Bottom