Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Yupo ,jipe muda,Muombe Mungu kwa sana, atamsogeza karibu. Ni suala la muda tuMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Hivi nilijibu hii post? Hutaki mwanaum aje akufuate kwasababu yachura na uzuri ila akupende ulivyo? Sasa chura na uzuri si ndio ulivyo?Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Ukikutana na Mimi usiponipenda basi hutapenda tena mpaka jua liwe baridiMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Hongera sana mkuuMungu ni mwema mkuu niliwapata
Uliwapata tena?Mungu ni mwema mkuu niliwapata
Wewe kazi yako kufukua makaburi 🤣🤣🤣Ulimpata wa kumpenda?
Babu yangu mpendwa Shikamoo!🤸Wewe kazi yako kufukua makaburi 🤣🤣🤣
Uzi wa miaka 7 iliopita.
Marhaba mjukuu wangu, hebu njoo ndani nimekuletea zawadiBabu yangu mpendwa Shikamoo!🤸
Miaka 72017-2024
Njoo ndani hapa ni njeNishafika☺️