sidhani kama unahakika na hilii ,kizuri hakijitangazi,huenda ukawa na tabia mbaya ndio maana jamaa akaamua kukupiga chini wanaume sio wajinga bana kumbuka tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hahahahahahahahaBahati nzuri ni kati ya wanawake wanaume wengi wanawish kuwa nao. Nimeshapenda wanaume wawili na wote nilianza kuwapenda mimi japo walijiona wametumia nguvu kunishawishi ila nilikua tayari kabla hawajawaza kuwa na mimi.
Njoo Kwa PM yangu tuyajenge....Kwako wapi?
Sasa kama ndio hivyo tatizo liko wapi? Maana haya maelezo kama yanakinzana na uzi wako!!!Bahati nzuri ni kati ya wanawake wanaume wengi wanawish kuwa nao. Nimeshapenda wanaume wawili na wote nilianza kuwapenda mimi japo walijiona wametumia nguvu kunishawishi ila nilikua tayari kabla hawajawaza kuwa na mimi.
hapa hakuna fursa ni matatizo tupuWazee wa fursa kazi kwenu
Uliumizwa sana hivyo bado moyo una maumivu, haujamove on.Acha tu...
wanakutaka ?kwani yako ina zahabu ndani?hahahahhahaha inaonekana wee ni mtu wakujikweza sana kwa tabia ya namna hii hata kama ni mimi siwezi kutulia lazima nitafute kapembeniNawaonaga waongo waongo, nilishajaribu wawili ila wote hatukudumu hata mwezi nikawaacha japo wananitaka hata sasa hivi ila nimeshindwa..
Bhas vishinde ivi vitu viwli,kupenda sana na wivu,inaonyesha una wivu pia.Umri hapana, kuchagua pia sidhani sababu huwa namuona mtu nampenda hivyo akija kumwaga sera inakia rahiso tu.
sidhani kama unahakika na hilii ,kizuri hakijitangazi,huenda ukawa na tabia mbaya ndio maana jamaa akaamua kukupiga chini wanaume sio wajinga bana kumbuka tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hahahahahahahaha
Ha ha ha niliamua niache tu hio comment ipite!Sasa kama ndio hivyo tatizo liko wapi? Maana haya maelezo kama yanakinzana na uzi wako!!!
kumbe juzi tuuu wenzako wana 10 yearsMara ya mwisho nimependa ilikua 2015, ila mpaka leo sijapata mwingine tena.
nahic kama unaetaman kumpenda ni mimi maana hata mimi nataman kupenda kama wewe na awe wa dar piaMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yan wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
duuh pole sana...tuliza moyo wako..ipo siku utapenda tenaNawaonaga waongo waongo, nilishajaribu wawili ila wote hatukudumu hata mwezi nikawaacha japo wananitaka hata sasa hivi ila nimeshindwa..