Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Bahati nzuri ni kati ya wanawake wanaume wengi wanawish kuwa nao. Nimeshapenda wanaume wawili na wote nilianza kuwapenda mimi japo walijiona wametumia nguvu kunishawishi ila nilikua tayari kabla hawajawaza kuwa na mimi.
sidhani kama unahakika na hilii ,kizuri hakijitangazi,huenda ukawa na tabia mbaya ndio maana jamaa akaamua kukupiga chini wanaume sio wajinga bana kumbuka tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hahahahahahahaha
 
Sasa kama ndio hivyo tatizo liko wapi? Maana haya maelezo kama yanakinzana na uzi wako!!!
 
Nawaonaga waongo waongo, nilishajaribu wawili ila wote hatukudumu hata mwezi nikawaacha japo wananitaka hata sasa hivi ila nimeshindwa..
wanakutaka ?kwani yako ina zahabu ndani?hahahahhahaha inaonekana wee ni mtu wakujikweza sana kwa tabia ya namna hii hata kama ni mimi siwezi kutulia lazima nitafute kapembeni
 
sidhani kama unahakika na hilii ,kizuri hakijitangazi,huenda ukawa na tabia mbaya ndio maana jamaa akaamua kukupiga chini wanaume sio wajinga bana kumbuka tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hahahahahahahaha
Sasa kama ndio hivyo tatizo liko wapi? Maana haya maelezo kama yanakinzana na uzi wako!!!
Ha ha ha niliamua niache tu hio comment ipite!
 
Take your time kuji analyse dear. Nimetoka kwenye mahusiano. Utanifundisha nini? Umechukua nini? Umevutiwa na nini?

Mahusiano yako yajayo ungependa yaweje? Umejiandaaje.

Take time to heal. Usiingie katika relationship ingine huku unawaza ex wako. Usiwe kwenye rebound.

You know you deserve better. Usijilaumu kabisa kuhusu mahusiano yaliyovunjika. What doesn't kill us, makes us stronger. Good Luck.
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yan wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
nahic kama unaetaman kumpenda ni mimi maana hata mimi nataman kupenda kama wewe na awe wa dar pia
 
Back
Top Bottom