Una mtoto au uliwahi kuolewa?Wivu ninao ila kupenda sana ni tatizo kubwa sana nililo nalo.
Vya kuchagua vipo vingi,Wala hata. kwanini mnakimbiliaga kuwa tunachagua? mi sichagui aisee na naogopa sana wanaume wenye hela.
unajua kama una kitu special kwa mwanaume anayetaka mtu wa kuishi nae hawezi kukuacha kirahisi haijarishi ni umbali kiasi gani,lakini tofauti na hapo tutakula bata tu ila atakuwa anakuchora tu akitaka kuoa lazima ule kibuti cha kimyakimyaTatizo nililo nalo ni kwamba wanaume wananiogopa, waliobahatika kukaa na mimi wanasemaga niko tofauti na ninavyoonekana yani naonekana mwanamke fulani matawi napenda pesa ila siko hivyo. Labda nina tabia mbaya kweli zisizovumilika lakini hamna mtu aliewahi niambia kwamba nina tabia hii na hii ndo maana wanashindwa kukaa na mimi. Mapungufu ya kibinadamu lazima ninayo ila sio ya kumkimbiza mwanaume kwamba ameshindwa kuvumilia.
Kwangu mimi kuna tabia naona hazivumiliki kama ugomvi (kupigana au kugombana hadharani), wizi, uchafu, uvivu, ulevi uliopindukia, umalaya, etc. Ila hasira ninazo lakini nikikasirika siongei kabisa nalia tu. Sasa kwa hizo tabia hapo juu na sinazo ndo maana naona nyingine zinavumilikaUnawezaje kuwa na uhakika kwamba mapungufu yako yanavumilika ?
Wala hata. kwanini mnakimbiliaga kuwa tunachagua? mi sichagui aisee na naogopa sana wanaume wenye hela.
Mwezi mmoja tu? Hatari sana ,tena wawili.Nawaonaga waongo waongo, nilishajaribu wawili ila wote hatukudumu hata mwezi nikawaacha japo wananitaka hata sasa hivi ila nimeshindwa..
Sinaga vigezo hata. Mwanzoni nilikua najua napenda wanaume weusi wanaofuga nywele ila nilikuja kufall in love na mwanaume mweupe na ananyoa. So yes sina choice yeyote nitakaempenda nimempenda moyo ti uridhie.Unamtaka wa aina gani? Maybe vigezo vyako ndio tatizo. Mfano vile ulivyo hauatract wenye vigezo vile unavyovitaka.
Au bado haujawa tayari kupenda bado.
Kuwa Bibi sio tatizo,,,Tatizo ni kutaka kuridhisha nafsi kwa haraka ilhali ukijutia maisha yako yoteMitano si ntakua bibi sasa..