Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Inawezekana kabisa, na mwisho wa siku utaja usahau huu uzi
 
Tatizo nililo nalo ni kwamba wanaume wananiogopa, waliobahatika kukaa na mimi wanasemaga niko tofauti na ninavyoonekana yani naonekana mwanamke fulani matawi napenda pesa ila siko hivyo. Labda nina tabia mbaya kweli zisizovumilika lakini hamna mtu aliewahi niambia kwamba nina tabia hii na hii ndo maana wanashindwa kukaa na mimi. Mapungufu ya kibinadamu lazima ninayo ila sio ya kumkimbiza mwanaume kwamba ameshindwa kuvumilia.
unajua kama una kitu special kwa mwanaume anayetaka mtu wa kuishi nae hawezi kukuacha kirahisi haijarishi ni umbali kiasi gani,lakini tofauti na hapo tutakula bata tu ila atakuwa anakuchora tu akitaka kuoa lazima ule kibuti cha kimyakimya
 
Unawezaje kuwa na uhakika kwamba mapungufu yako yanavumilika ?
Kwangu mimi kuna tabia naona hazivumiliki kama ugomvi (kupigana au kugombana hadharani), wizi, uchafu, uvivu, ulevi uliopindukia, umalaya, etc. Ila hasira ninazo lakini nikikasirika siongei kabisa nalia tu. Sasa kwa hizo tabia hapo juu na sinazo ndo maana naona nyingine zinavumilika
 
Unamtaka wa aina gani? Maybe vigezo vyako ndio tatizo. Mfano vile ulivyo hauatract wenye vigezo vile unavyovitaka.
Au bado haujawa tayari kupenda bado.
Sinaga vigezo hata. Mwanzoni nilikua najua napenda wanaume weusi wanaofuga nywele ila nilikuja kufall in love na mwanaume mweupe na ananyoa. So yes sina choice yeyote nitakaempenda nimempenda moyo ti uridhie.
 
Back
Top Bottom