Natamani kupenda tena

Mimi napenda na siamini sana kwenye kujifunza kumpenda mtu ndiyo sababu hata mtu awe smart vipi, awe na hela awe handsome kama moyo haujaridhia siwezi kuwa nae. Ningekua nina vigezo na naweza kupenda haraka ningekua nishapata muda tu..
You contradict yourself. Mara unasema huchagui hapa ni wazi unachagua. Ndio maana uliposema huchagui nikakwambia hamna binadamu asiechagua.
 
Watu wa karibu yangu wanasemaga nina tatizo na wanaume kuwa sizoeleki/sitongozeki kirahisi sababu niko serious japo huwa ni mbinu naitumia nikiwa naona mtu anataka kunitongoza na najua nikimkataa nitaharibu uhusiano tulio nao. labda ukauzu kwa wanaoplan kunitokea na urafiki na wanaume wengi ni tatizi
 
Hilo nalo ni tatizo, hata ex wangu alikuwa nalo.

Jitahid ujue unataka nini kwenye mahusiano yako.
Nikisema pesa zikiisha si nitakuacha? love doesn't ask why.. ukimpenda mtu huwezi jua unachopenda ila pia nimekuja kugundua wanaume niliowapenda walikuaga bright (kumbuka napendaga siku ya kwanza sasa sijui inatokeaje nakuta huyo mtu ni kichwa)
 
Ndo maana nilikuuliza umri,
Maana bado una matamanio ya mpaka awe na six pack na kiduku,
Walau ukifika ata miaka 35, utakuwa tayar kwa mahusiano.
35 duhh huyo mwanaumee wa 38-40 ambae yupoyupo atampata wapi
 
Ndo maana nilikuuliza umri,
Maana bado una matamanio ya mpaka awe na six pack na kiduku,
Walau ukifika ata miaka 35, utakuwa tayar kwa mahusiano.
Aisee niombe radhi, umri huu nipende six packs na kiduku?? kwanza sijawahi wapenda wa kihivyo
 
Hata hivyo hakuna binadamu ambae amekamilika bwana we. Hayo mambo hutokea sana tu.

We jipe muda moyo wako uachie na atatokea tu wa kumpenda.
 
watu huumizwa na mapenzi tena kwa kiwango kikubwa lakini sio mwisho wa maisha ,lazima maisha yaendelee fungua moyo wako ukubali mapungufu ya mwenzako,huwezi kukosa mtu wa kukupenda
Sawa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…