Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #161
Kuwa singo mom ni mkosi kumbe? basi labda ndo maana napata wanaonipenda ila sipati ninaowapenda..nimekuelewaNimesema tu kwa uzuri dada,
Kwamba,yawezekana halipi kipaumbele jambo la mtoto kabla ya kuanza mahusiano,
Na ili asalimike,ajaribu watu wazima,vijana wengi wanaogopa mikosi.