Dr Garangi
Senior Member
- Oct 3, 2017
- 120
- 121
Nilitaka mshauri hili yawezekana ni SINGO MAMA,...mpende alokuzalisha!
..wataka mtwisha nani zigo la malezi!
.#pambana_na_hali_yako_tu!
Awe analisema mwanzo wa mahusiano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka mshauri hili yawezekana ni SINGO MAMA,...mpende alokuzalisha!
..wataka mtwisha nani zigo la malezi!
.#pambana_na_hali_yako_tu!
You contradict yourself. Mara unasema huchagui hapa ni wazi unachagua. Ndio maana uliposema huchagui nikakwambia hamna binadamu asiechagua.Mimi napenda na siamini sana kwenye kujifunza kumpenda mtu ndiyo sababu hata mtu awe smart vipi, awe na hela awe handsome kama moyo haujaridhia siwezi kuwa nae. Ningekua nina vigezo na naweza kupenda haraka ningekua nishapata muda tu..
Angeweza kunielewa asingeanzisha huu uzi.Akikuelewa nistue mkuu
Watu wa karibu yangu wanasemaga nina tatizo na wanaume kuwa sizoeleki/sitongozeki kirahisi sababu niko serious japo huwa ni mbinu naitumia nikiwa naona mtu anataka kunitongoza na najua nikimkataa nitaharibu uhusiano tulio nao. labda ukauzu kwa wanaoplan kunitokea na urafiki na wanaume wengi ni tatizikila binadamu ana mapungufu yake hilo halipingiki lakini uvumilivu wa mtu na mtu ni tofauti,mfano unaweza kuwa unakunywa pombe mwingine akaona ni sawa tu na akaweza kuvumila lakini kwa mwingine hilo ni kosa ambalo halivumiliki,wanawake wengi kizazi hiki cha karne ya 21 wengi wenu hamjuii nini maana ya mahusiano lbda kama kula bata tu,ubabe mbele kwa mbele,kabla ujalaumu au kusononeka jiangalie mwenyewe kwanza waweza uliza hata watu waliokaribu yako watakwambia mapungufu yako kama wewe ni mtu wa kujichanganya ,lakini kama ndio wale wabinafsi nakijisikia sahau
Hahahahaa
Wifi ana taarifa?Niunganishie huyu sista, maana douta wake simsomi kabisa nowadays [emoji4] [emoji4]
Nikisema pesa zikiisha si nitakuacha? love doesn't ask why.. ukimpenda mtu huwezi jua unachopenda ila pia nimekuja kugundua wanaume niliowapenda walikuaga bright (kumbuka napendaga siku ya kwanza sasa sijui inatokeaje nakuta huyo mtu ni kichwa)Hilo nalo ni tatizo, hata ex wangu alikuwa nalo.
Jitahid ujue unataka nini kwenye mahusiano yako.
35 duhh huyo mwanaumee wa 38-40 ambae yupoyupo atampata wapiNdo maana nilikuuliza umri,
Maana bado una matamanio ya mpaka awe na six pack na kiduku,
Walau ukifika ata miaka 35, utakuwa tayar kwa mahusiano.
Aisee niombe radhi, umri huu nipende six packs na kiduku?? kwanza sijawahi wapenda wa kihivyoNdo maana nilikuuliza umri,
Maana bado una matamanio ya mpaka awe na six pack na kiduku,
Walau ukifika ata miaka 35, utakuwa tayar kwa mahusiano.
Hata hivyo hakuna binadamu ambae amekamilika bwana we. Hayo mambo hutokea sana tu.Ex bf wangu ambae ilibidi tuachane kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu ananilalamikia kila siku kuwa anajuta kwa uamuzi aliochukua anatamani yasingetokea yaliyotokea huwa namwambia tu ni maamuzi aliyochukua ayaishi mimi sipo tena. Ningekua sikua mwema asingepoteza muda na mimi. Kuna vitu haviepukiki hata kama uwe na tabia kama malaika vikitokea vimetokea.