Kuwa singo mom ni mkosi kumbe? basi labda ndo maana napata wanaonipenda ila sipati ninaowapenda..nimekuelewaNimesema tu kwa uzuri dada,
Kwamba,yawezekana halipi kipaumbele jambo la mtoto kabla ya kuanza mahusiano,
Na ili asalimike,ajaribu watu wazima,vijana wengi wanaogopa mikosi.
Ooooh! Hapo sawa.Nimesema tu kwa uzuri dada,
Kwamba,yawezekana halipi kipaumbele jambo la mtoto kabla ya kuanza mahusiano,
Na ili asalimike,ajaribu watu wazima,vijana wengi wanaogopa mikosi.
Na kweli.. mi nikimpata ninaempenda mbona nalegeza kila kitu.Na hiyo mbinu unaitumia kwa wale ambao hawakuvutii, we subiri akitokea unaemridhia mbinu zote zinayeyuka.
Unatamani kupenda ila bado haujawa tayari kupenda. Ninakuelewa mama.
wanaompenda si ndo hao wasiokua na sifa?Muombe mungu na usiwe na haraka utampata atakaekupenda kwa dhati
Mzigua90 ndani ya huo mwezi vp walishaitafuna mbunye yako?Nawaonaga waongo waongo, nilishajaribu wawili ila wote hatukudumu hata mwezi nikawaacha japo wananitaka hata sasa hivi ila nimeshindwa..
Sawa sawa
Kutongozana tena?? mimi ukiniomba namba nakupa yani hata kama sikutaki, hata utongoze vipi chief sikutaki sikutaki ndo maana hata nikuwekea uso wa mbuzi ukikata tamaa sina ninachopoteza naona sawa tu. Ila nikukupenda mimi utafurahi, utashangaa yule mwanamke anaeonekana sio rahisi kumtongoza mbona si huyu.wakati mwingine ukipretend sana tabia fulani bila kujua inaweza kuwa ndio tabia yako,mwanamke ni pambo,hata mimi umekunja sura nitafikiri mara mbili,kuwa mchangamfu sio kwamba utazoeleka ila jijengee mazingira ya mwanaume akuheshimu kuliko kutumia hiyo njia yako,wengine huwa ni waelewa tu,ntachukua namba ntakutongoza,ukinikataa ya kwanza na ya pili tena nakubali matokeo
Basi nipende mimi please japo haunijuiHapana..sina uthubutu wa kuweka picha yangu
Mmmh,sina maana iyo,Kuwa singo mom ni mkosi kumbe? basi labda ndo maana napata wanaonipenda ila sipati ninaowapenda..nimekuelewa
Hahahaahaa... niko tayari mkuu ila tatizo wa kumpenda ndo simuoni.Dada kabla hujaanza kufanya uamuzi huu kwanza jiandae kisaikolojia kwanza ...hakuna jambo zito na ambalo inastahili kutumia akili nyingi kama kunzisha mahusiano ya kimapenzi pia hakuna jambo linaloweza kukunyima raha kama hilo ...ukizingatia wewe ni mtani wangu dah nawajua kwa wivu
Bhas ilo ni tatizo,kama unamvulia mtu usiyempenda,Sikumpenda hata, ningempenda nisingemuacha.
Kukupnda ulivyo si ndo hvo yaan kakupnd una churaSifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
basi lazima ukubali kila mtu anachaguo lake ,labda hujapata wakumpendaKutongozana tena?? mimi ukiniomba namba nakupa yani hata kama sikutaki, hata utongoze vipi chief sikutaki sikutaki ndo maana hata nikuwekea uso wa mbuzi ukikata tamaa sina ninachopoteza naona sawa tu. Ila nikukupenda mimi utafurahi, utashangaa yule mwanamke anaeonekana sio rahisi kumtongoza mbona si huyu.