Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Sio lazima iwe hivyo always, haujawahi ona mwanaume/mwanamke anaweza kukuacha kwa kukuona haufai alafu akajirudi kwa magoti baada ya kugundua yo the best!!unajua kama una kitu special kwa mwanaume anayetaka mtu wa kuishi nae hawezi kukuacha kirahisi haijarishi ni umbali kiasi gani,lakini tofauti na hapo tutakula bata tu ila atakuwa anakuchora tu akitaka kuoa lazima ule kibuti cha kimyakimya
Sio kwamba kwa kuwa kwenu wanaume basi mmekamilika 100%,lasivyo kusingekuwa na matatizo ktk ndoa maana mngekuwa mnachagua the best.