Matokeo Yako ya History ,Geography na mathematics Yalikuwaje?Natamani kusoma HGE advance. Nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o_level. Hivi itawezekana kuchaguliwa hii combination natamani?
History c geography c mathematics FMatokeo Yako ya History ,Geography na mathematics Yalikuwaje?
Tatizo Lipo Hapo Kwenye Maths..History c geography c mathematics F
Economics inahitaji ufualu wa Basic Mathematics (daraja A-D) mbali na ufualu wa History na Geography kwa angalau credit.Natamani kusoma HGE advance. Nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o_level. Hivi itawezekana kuchaguliwa hii combination natamani?
Kozi ambayo hujui kuandika somo lake unawezaje kuisomaNatamani kusoma HGE advance. Nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o_level. Hivi itawezekana kuchaguliwa hii combination natamani?
Hakuna Shule wanafundisha Economics O Level. Kama Basic Mathematics, History na Geography ulifaulu nenda kapige zako HGENatamani kusoma HGE advance. Nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o_level. Hivi itawezekana kuchaguliwa hii combination natamani?
Huwezi kusoma HGE na F ya MathematicsHistory c geography c mathematics F
Sasa huo Mswaki wa hesabu, unataka ukasome Economics, kivipi? Wee mwizi eti?History c geography c mathematics F
😂😂😂😂Kwamatokeo hayo yamaths hata kwaviti maalum hupat
Soma arts achana na mahesabu, utajitesa tu.History c geography c mathematics F
E utanikuta huko huko haifu dishi O levelNatamani kusoma HGE advance. Nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o_level. Hivi itawezekana kuchaguliwa hii combination natamani?