Natamani kuwa fisadi: Nifanyeje Kuishinda hii hali?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Wakuu heshima kwenu, nahudumu katika kitengo cha manunuzi katika taasisi moja ya umma (sita itaja). Kila mara ninapokuwa nikitekeleza majukumu yangu kuna roho ya ufisadi inanijia, ukweli nikwamba huwa naiba ila sijawahi kuiba zaidi ya laki 5 hata kama manunuzi ni makubwa vipi.

Tamanio langu ni siku moja kutokea katika vichwa vya habari kama fisadi aliyeficha mabilioni nje ya nchi, fisadi ambaye anaheshimika na hakamatiki kirahisi.

Siipendi hii hali lakini sijui kwanini nashawishika na nafasi ya kufanya hivyo ninayo maana najua kupanga mahesabu yangu vyema, napata cha juu na chenchi inabaki.

Naaminika kuliko wenzangu wote, kuna siku wenzangu walinishawishi tuibe laki 1 nanusu kila mmoja kwenye manunuzi ya vifaa vya ofisi, nikakataa walichokuwa hawajui nikwamba niliiba laki 4 na point kwa upole na unyenyekevu.

Naombeni mnielekeze jinsi ya kuishinda hali hii vinginevyo mtaniona kwenye viunga vya mahakama nikiwa nimezungukwa na mawakili wangu tukijaribu kuishinda jamhuri ili baada ya kesi tukatumie fedha zetu.
 
Unaaibisha wataalamu wenzako! Ndio mana serikali inachukia sana hiii kada, kama inawataalamu wa aina hii!
Polen sana wataalamu wa manunuzi, fani yenu inasafari ndefu kutokana na aina ya watu walioko ndani yake. Wengi hawajitambui.
 
Uhuru umezidi

Nchi kama china umeshajitangaza hivi....ni shaba tu .....
Kama umesoma vyema uzi utagundua kuwa ninataka kuwa mtumishi mwaminifu, ningekuwa na nia mbaya ningeiba sana tu. Ningeiba hata zaidi ya laki 5 kila wiki.
 
Unaaibisha wataalamu wenzako! Ndio mana serikali inachukia sana hiii kada, kama inawataalamu wa aina hii!

Polen sana wataalamu wa manunuzi, fani yenu inasafari ndefu kutokana na aina ya watu walioko ndani yake. Wengi hawajitambui.
Mkuu wanao jiita waadilifu wengi ni wezi wa kimya kimya au ni watu ambao hawana uwezo wa kuiba chochote kwahiyo wanajifanya waadilifu sana.

Kwangu uadilifu ni kuwa na nafasi ya kuiba na kuamua kuacha au kutongozwa na demu mkali na kuamua kumkataa.
 
Ndio mana serikali inachukia sana hiii kada,
Serikali gani inaichukia hii kada?

Huyo Mwigulu mwenyewe anaitamani hiyo nafasi leo kesho na yeye apige,hao unaosema wanaichukia ni unafiki tu hata wewe kwa sababu hujawa hapo ungetamani hivi hivi.
 
Mkuu we piga tu, ila uwe makini zaidi ya umakini wenyewe.
 
Asante, natamani kuacha yani nisitamani kufanya ujanja ujanja
Wizi ni tabia na ukisha ianza hiyo tabia ni ngumu kuiacha,ni sawa na kubet tu,

Muogope Mungu wako na sio Mahakama,Mungu atakibariki hata hicho kidogo unacho kipata kwa njia ya halali,unaweza ukawa unaiba na wala usijue hizo hela za wizi zimeenda wapi au umefanya maendeleo gani,

Maisha ni mafupi sana hapa Duniani,jitahidi kuishinda nafsi ya tamaa kwa kumuomba Mungu.

Good luck.
 
Wakuu heshima kwenu, nahudumu katika kitengo cha manunuzi katika taasisi moja ya umma (sita itaja). Kila mara ninapokuwa nikitekeleza majukumu yangu kuna roho ya ufisadi inanijia, ukweli nikwamba huwa naiba ila sijawahi kuiba zaidi ya laki 5 hata kama manunuzi ni makubwa vipi.

Tamanio langu ni siku moja kutokea katika vichwa vya habari kama fisadi aliyeficha mabilioni nje ya nchi, fisadi ambaye anaheshimika na hakamatiki kirahisi.

Siipendi hii hali lakini sijui kwanini nashawishika na nafasi ya kufanya hivyo ninayo maana najua kupanga mahesabu yangu vyema, napata cha juu na chenchi inabaki.

Naaminika kuliko wenzangu wote, kuna siku wenzangu walinishawishi tuibe laki 1 nanusu kila mmoja kwenye manunuzi ya vifaa vya ofisi, nikakataa walichokuwa hawajui nikwamba niliiba laki 4 na point kwa upole na unyenyekevu.

Naombeni mnielekeze jinsi ya kuishinda hali hii vinginevyo mtaniona kwenye viunga vya mahakama nikiwa nimezungukwa na mawakili wangu tukijaribu kuishinda jamhuri ili baada ya kesi tukatumie fedha zetu.
Nakumbuka mwaka flani nikiwa kazini huku kanda ya zowa niliwapa manunuzi list ya vifaa vya kununua, wakaenda nayo kwa suppliers wakaja na gharama kama 13mil hivi, nikaichukua ile invoice nikaipitia A to Z niliyo yakuta humo duuh!

Ikabidi nitafute siku nichukue ile list yangu ikiwa empty niende mwenyewe kwa wale suppliers ambao manunuzi waliniletea invoices zao nikawapa wajaze (nilijifanya kama ni mtu binafsi na nna nunua vitu kwa ajili ya kazi yangu nyumbani).

Bei niliyo pewa ilikua around 7mil au nane kasoro, nikachukua ile invoice yangu na ile yao nikawapelekea nikaambia watumie invoice yangu maana ina gharama ndogo!

Tokea hiyo siku walikua hawataki hata kuniona!

Kwa kifupi kwenye hii nchi hakuna kitengo serikalini ambacho ni corrupt kama manunuzi (wakifwatiwa na polisi).
 
Asante mkuu, ila mimi huwa nina huruma sijawahi kuiba zaidi ya laki 5, ndomaana hata nikikuletea list huwezi ku disapprove kuna namna nafanya na ma supplier, sasa sipendi kuwa hivi na tunapo elekea nahisi ntaanza kuchukua hata theluthi ya bei halisi endapo hamta nipatia mbinu ya kuacha.
 
Nchi haiendelei sababu ya macuma kamq nyie.shwain!
 
Mkuu hiyo ndo roho ya upambanaji wala usiikemee wenzako wanatafuta hizo nafasi.

Wewe sio Baba wa taifa ukipata nafasi zibua haswa.
 
Wakuu heshima kwenu, nahudumu katika kitengo cha manunuzi katika taasisi moja ya umma (sita itaja). Kila mara ninapokuwa nikitekeleza majukumu yangu kuna roho ya ufisadi inanijia, ukweli nikwamba huwa naiba ila sijawahi kuiba zaidi ya laki 5 hata kama manunuzi ni makubwa vipi.

Tamanio langu ni siku moja kutokea katika vichwa vya habari kama fisadi aliyeficha mabilioni nje ya nchi, fisadi ambaye anaheshimika na hakamatiki kirahisi.

Siipendi hii hali lakini sijui kwanini nashawishika na nafasi ya kufanya hivyo ninayo maana najua kupanga mahesabu yangu vyema, napata cha juu na chenchi inabaki.

Naaminika kuliko wenzangu wote, kuna siku wenzangu walinishawishi tuibe laki 1 nanusu kila mmoja kwenye manunuzi ya vifaa vya ofisi, nikakataa walichokuwa hawajui nikwamba niliiba laki 4 na point kwa upole na unyenyekevu.

Naombeni mnielekeze jinsi ya kuishinda hali hii vinginevyo mtaniona kwenye viunga vya mahakama nikiwa nimezungukwa na mawakili wangu tukijaribu kuishinda jamhuri ili baada ya kesi tukatumie fedha zetu.
Watafute hawa jamaa fisadi12 , FisadiKuu na fisadimpya wakupe madini.
 
Fanya aaaah nikupe dose ya ubongo.
 
Back
Top Bottom